Tafuta kwanza pesa, usikimbilie kutafuta mwanamke mwingine

Tafuta kwanza pesa, usikimbilie kutafuta mwanamke mwingine

Tuzitafute kwa juhudi zoteee

1. Mkwanja
2. Mawe
3. Sabuni ya roho
4. Mpunga
5. Madafu

Call it whatever ila MONEY BUYS ANYTHING YOU WANT.

If you think money can't buy Happiness then go and ask the jobless and homeless.

#YNWA
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji817]
 
Pesa ni kivutio cha malaya, ukiwa nazo tu malaya wengi sana watataka wakuvulie chupi ila wenye mapenzi na kuvutiwa haswa na utu wa mtu wao huitaji hata 100
Mapenzi pesa HAIMAANISHI kumpa mwanamke pesa tu yenyewe mapenzi au penzi Kama chimbo kinahitaji Operation Cost ambayo ni pesa bila pesa hata Outing tu itakushi da, Gifting, hata Meeting nk hivi tuvitu vidogovudogo ndio mapenzi yenyewe Kama uko empty penzi linaboa hasa so hata Kama mwanamke hataki hata 100 penzi linahitaji
 
Binafsi hamna ambaye hana hata 100 dunia hii! Labda mtoto anayenyonya na kutambaa. 😀
 
Kwangu uje na hoja ya kuoa, uniambie nioe nikiwa nakibunda

ila kuhusu hizi pisi tunajilia hizo hizo zenu na hatuwapi hata mia

Uchizi ni kutafuta hela kisa hawa wasista duuu
Hawatuwezi na hii iko wazi,,, Nako2Nako Soldiers 🤣🤣🤣
 
Uwe una demu ambaye anakupenda kweli au anakuigizia sababu ya hela zako bado pesa ni muhimu. Tofauti demu anaye kupenda kweli hata mizinga yake inakuwa reasonable, yani yale mahitaji yake ya msingi kama mwanamke na hata ukiteteleka kidogo kiuchumi anakuelewa anajua utapata ila yule anakuigizia mara nyingi huwaga mizinga yake ni ya kukukomoa.

Ila pesa ni mihimu sana wenye mapenzi yawe ya kweli au ya kuigiza.
 
Back
Top Bottom