Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Onhoo,washakuchukulia tayariHeshimu mahusiano ya wengine, anzisha wa kwako. Yanini kuhangaika na samaki aliyekwisha vuliwa wakati kuna samaki wengi baharini.
Nimepigwa kibuti😭😭Onhoo,washakuchukulia tayari
Mdogo wangu NDIO UNAUME HUO VUMILIAHeshimu mahusiano ya wengine, anzisha wa kwako. Yanini kuhangaika na samaki aliyekwisha vuliwa wakati kuna samaki wengi baharini.
😂😂😂😂umeona eeMdogo wangu NDIO UNAUME HUO VUMILIA
Asante kaka😭😭Mdogo wangu NDIO UNAUME HUO VUMILIA
😂😂😂🙊Asante kaka😭😭
😭😭😭😂😂😂🙊
Nimeachwa😭Tuhadisie imekuaje tena?
😂😂apo umefurahi mwenyeweKishaumana😀😀😀
Songa mbele kama injili
Achika mkuuNimeachwa😭
Hahahahaha, mkuu ,kuna mutu kavuka mipaka nn , kamjaribu Shem wetuHeshimu mahusiano ya wengine, anzisha wa kwako. Yanini kuhangaika na samaki aliyekwisha vuliwa wakati kuna samaki wengi baharini.
Pole sana, bora wewe ulikua nae kakuaacha .Nimeachwa😭