Tafuta pesa achana na siasa za Tanzania. Je, wajua Tanzania siasa ni ajira?

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,134
Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle)

Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae,

Usipotafuta pesa za kutosha na kujenga familia imara utaishia kuilaumu serikali wakati wote na kuwaita waliowekeza kwa watoto wao mafisadi

Usipoangalia Faida na hasara Katika maisha kwa kila jambo unalofanya utakuwa na matatizo makubwa na umaskini mkubwa

Ulimjadili Rais Mkapa mwaka 1995-2005. Je, ulipata faida kiasi gani?

Ulimjadili Kikwete J mwaka 2005-2015. Je, ulipata faida kiasi gani?

Ulimjadili Magufuli JP mwaka 2015 mpaka 2021. Je, ulipata faida kiasi gani?

Na sasa unamjadili Chief Hangaya, Mama ambaye amejaza mapesa mtaani, Tenda kila kona ya nchi. Je, umepata faida kiasi gani?

Tangu mwaka 1995 hapo juu ungechukua maamuzi magumu ya kuunga mkono upande wa siasa zenye faida mwanao sasa angekuwa na miaka 27 na tayari ungekuwa umempenyeza kwenye siasa za Tanzania

Cha kushangaza yawezekana wewe na mtoto mpo hapa JF mnarudia makosa yale yale ya kujadili hasara badala ya upande wenye faida hivyo mzunguko wa umaskini wa Familia ni endelevu (an endless family poverty life cycle)

Lazima uunge mkono upande unaopata faida na sio upande unaopata hasara, Hakuna anayefanya biashara ili kupata hasara, Siasa za Tanzania ni kazi na ajira kama kazi zingine za Engineers, Doctors, Bankers, Architect

Hakuna mtu awe mbunge atakaye kupigania wewe upate maendeleo wakati wewe mwenyewe hutaki kupiganiwa na kuchagua upande wake wenye Faida

Tafuta pesa na tambua siasa za Afrika na Tanzania nia ajira, Tunawapigia watu Kula na sio kura

Jitafakari unalofanya lina faida na chukua hatua mapema

Katika maisha ni lazima kupima mambo kwa kuangalia faida na hasara, je ni faida gani unapata ukiwa mwana ccm na ni hasara gani unapata ukiwa Chadema?
 
mentality km hizi ndizo zinazorudisha nyuma hii nchi, na pengne umeandika huu uzi unaona umeandika point...
.
hapo ni kuwa umeandika pumba boss

maisha ya kawaida ya kila siku wananchi yanategemea siasa kwa zaidi ya 85% na ndo maana nchi wanazijielewa wanasiasa wakichafukwa hakujawahi kuwa na amaani ni vita tuu ila kwa kuwa uku kwetu hatujui nn maana ya siasa tunaishia kuburuzwa tu.
 
Endelea kuwaza habari za vita kwenye Taifa ambalo watu wakisikia hata pancha ya tairi la Baiskeli wanakimbia mbio mguu mpaka kisogoni, Je wakisikia Bomu itakuaje?

Hakuna cha mentality kama unapata hasara

Wanao hawatakukumbuka kuwa uliwalisha nyama choma au ulishiriki maandamano

Utakumbukwa kwa Mali au asset ulizowaachia

Taifa ambalo siku ya maandamano kila mtu anachungulia dirishani na kuuliza mwezake kinaendelea nini huko?

Taifa hili kila mtu anawaza usalama wa Familia yake, Hakuna atakaye kuunga wewe mkono
 
Pelekeni watoto shule angalau wapate kujitambua, watu wajinga wajinga ni wengi sana nchi hii hasa MA-VIJANA. CCM siku wakiondoshwa madarakani wanapaswa kuteketezwa wote asibaki hata mmoja KATIBA mpya inatakiwa kuwa chungu sana
 
Unasema tafuta pesa achana na siasa, halafu wakati huohuo unaonyesha kuwa matajiri ni wanasiasa! Lazima utakuwa na akili nzito sana. Unalazimisha kuwa mjinga kwa nguvu ndio maana unaongea mambo yanayoji contradict.
 
Umeandika point sana,siasa ni biashara sio Tanzania bali duniani kote.siasa ni mchezo mchafu na ccm ndio chawa wanajipendekeza kwa wananchi wapate kula tu.

Na mtoa mada pia ni chawa wa ccm japo una hoja nzuri
 
Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle)

Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae,

Usipotafuta pesa za kutosha na kujenga familia imara utaishia kuilaumu serikali wakati wote na kuwaita waliowekeza kwa watoto wao mafisadi

Usipoangalia Faida na hasara Katika maisha kwa kila jambo unalofanya utakuwa na matatizo makubwa na umaskini mkubwa

Ulimjadili Rais Mkapa mwaka 1995-2005. Je, ulipata faida kiasi gani?

Ulimjadili Kikwete J mwaka 2005-2015. Je, ulipata faida kiasi gani?

Ulimjadili Magufuli JP mwaka 2015 mpaka 2021. Je, ulipata faida kiasi gani?

Na sasa unamjadili Chief Hangaya, Mama ambaye amejaza mapesa mtaani, Tenda kila kona ya nchi. Je, umepata faida kiasi gani?

Tangu mwaka 1995 hapo juu ungechukua maamuzi magumu ya kuunga mkono upande wa siasa zenye faida mwanao sasa angekuwa na miaka 27 na tayari ungekuwa umempenyeza kwenye siasa za Tanzania

Cha kushangaza yawezekana wewe na mtoto mpo hapa JF mnarudia makosa yale yale ya kujadili hasara badala ya upande wenye faida hivyo mzunguko wa umaskini wa Familia ni endelevu (an endless family poverty life cycle)

Lazima uunge mkono upande unaopata faida na sio upande unaopata hasara, Hakuna anayefanya biashara ili kupata hasara, Siasa za Tanzania ni kazi na ajira kama kazi zingine za Engineers, Doctors, Bankers, Architect

Hakuna mtu awe mbunge atakaye kupigania wewe upate maendeleo wakati wewe mwenyewe hutaki kupiganiwa na kuchagua upande wake wenye Faida

Tafuta pesa na tambua siasa za Afrika na Tanzania nia ajira, Tunawapigia watu Kula na sio kura

Jitafakari unalofanya lina faida na chukua hatua mapema

Katika maisha ni lazima kupima mambo kwa kuangalia faida na hasara, je ni faida gani unapata ukiwa mwana ccm na ni hasara gani unapata ukiwa Chadema?
1.Wanasiasa ndio wanaopanga biashara gani ifanyike na biashara gani isifanyike- tujadili siasa kuliko mpira
2. Wanasiasa ndio wanaopanga leseni na bei zake tujadili siasa kuliko singeli
3. Siasa ndio inayotengeneza mazingira ya bei tujadili siasa kuliko mipasho
4. Siasa ndio inayoboresha au kufubaza nguvu ya manunuzi tujadili siasa kuliko mawazo yako
6. Siasa ndio inayotengeneza watu watajirike au wabaki maskini, wasome au wabaki wajinga, wachanje au wasichachange ili wafe nakorona, tujadili siasa kuliko kuwasifu akina nahiino
7. Siasa ndio inayopanga kodi tujadili siasa kuliko mafanikio feki ya ndege
8 siasa ndio inayotengeneza machinga na pia kuharamisha umachinga .....
Endelea kutafakari........
 
Siasa ni joint mhimu sana katika mzunguko wa maisha ya wananchi wote kwa usawa
 
Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle)

Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae,

Usipotafuta pesa za kutosha na kujenga familia imara utaishia kuilaumu serikali wakati wote na kuwaita waliowekeza kwa watoto wao mafisadi

Usipoangalia Faida na hasara Katika maisha kwa kila jambo unalofanya utakuwa na matatizo makubwa na umaskini mkubwa

Ulimjadili Rais Mkapa mwaka 1995-2005. Je, ulipata faida kiasi gani?

Ulimjadili Kikwete J mwaka 2005-2015. Je, ulipata faida kiasi gani?

Ulimjadili Magufuli JP mwaka 2015 mpaka 2021. Je, ulipata faida kiasi gani?

Na sasa unamjadili Chief Hangaya, Mama ambaye amejaza mapesa mtaani, Tenda kila kona ya nchi. Je, umepata faida kiasi gani?

Tangu mwaka 1995 hapo juu ungechukua maamuzi magumu ya kuunga mkono upande wa siasa zenye faida mwanao sasa angekuwa na miaka 27 na tayari ungekuwa umempenyeza kwenye siasa za Tanzania

Cha kushangaza yawezekana wewe na mtoto mpo hapa JF mnarudia makosa yale yale ya kujadili hasara badala ya upande wenye faida hivyo mzunguko wa umaskini wa Familia ni endelevu (an endless family poverty life cycle)

Lazima uunge mkono upande unaopata faida na sio upande unaopata hasara, Hakuna anayefanya biashara ili kupata hasara, Siasa za Tanzania ni kazi na ajira kama kazi zingine za Engineers, Doctors, Bankers, Architect

Hakuna mtu awe mbunge atakaye kupigania wewe upate maendeleo wakati wewe mwenyewe hutaki kupiganiwa na kuchagua upande wake wenye Faida

Tafuta pesa na tambua siasa za Afrika na Tanzania nia ajira, Tunawapigia watu Kula na sio kura

Jitafakari unalofanya lina faida na chukua hatua mapema

Katika maisha ni lazima kupima mambo kwa kuangalia faida na hasara, je ni faida gani unapata ukiwa mwana ccm na ni hasara gani unapata ukiwa Chadema?
We ni mtoto sana itakuwa au ni mjinga sana. Unadhani pesa bila power Ina thamani yeyote? Ukishapata pesa lazima uwe mwanasiasa ili ulinde himaya yako.

Sehemu pekee ambayo unaweza kupata pesa na ukailinda ni kwenye siasa ambako unaweza kusikika na ukapitisha Sera mbalimbali ambazo zitaifeva himaya yako au zitaisaidia himaya yako kuendelea au kuwa kubwa zaidi.

Angalia waliokuwa na pesa wote lazima wajiingize directly or indirectly kwenye siasa hata Bakhresa unayemsikia huwa anamwaga pesa nyingi sana CCM wakati wa uchaguzi pamoja yeye hayupo directly.

Life haipo hivyo young man. Simply because you don't eat a lion the it doesn't mean a lion should not eat you my friend. This universe is a gang world there's no place for the innocent.
 
Jinga sana we jamaa, hutaki watu kuwa wapinzani unajificha kwenye kichaka cha siasa. Alafu wote tukiwa chama tawala ama kufanya siasa za kusifia chama tawala izo nafasi za ajira (kama wewe unavyo sema zitatosha)

Wangapi wako ccm na Wana Maisha ya kipumbavu kuliko walio nje ya ccm.
 
Hizi ni dalili za mtu anayejihusisha na biashara haramu. Sababu huoni umuhimu wa utawala bora kupitia siasa.
 
GUSSIE ;Vipi unakumbuka Mwalimu Nyerere alisemaje kuhusu Nchi ili ipate maendeleo inahitaji nnini?Alisema Watu,Ardhi na Siasa safi.Watu ni professional labours,Aridhi inajulikana kazi yake na Siasa safi ni mipango inayowekwa na viongozi ili kuleta maendeleo.Sara mbovu huleta matokeoa mabovu na sera nzuri huleta matokeoa mazuri .Hivo basi basi siasa ndiyo inaleta mwelekeo upi wakiuchumi .Una hoja nzuri lakini umeiandika kisiasa zaidi .
 
Mtoa madam ni mjinga sana na hajui maisha ya utajiri na umaskni huwezi kuyatenganisha na siasa. Siasa safi na nzuri huleta utajiri
. Na siasa mbovu kma ya ccm huleta umaskni wa kutupwa kwa wananchi wake
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kuna wengi wameachama na siasa na hizo pesa hawana pia, ni mafukara tu wa kutupwa.
 
Mtoa madam ni mjinga sana na hajui maisha ya utajiri na umaskni huwezi kuyatenganisha na siasa. Siasa safi na nzuri huleta utajiri
. Na siasa mbovu kma ya ccm huleta umaskni wa kutupwa kwa wananchi wake
Anatajwa kuwa kiongozi wa Machawa .
 
Back
Top Bottom