Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi,
Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa sana, You wll be dsappointed.
Tafuta pesa watoto waje kuishi maisha mazuri, usumize kichwa kwa mwanamke,
Case study kwa Legend anaetrend, wapo wengi sana