Tafuta pesa, hakuna mwanamke wa mtu

Mpambanaji haofii kudhulimiwa kaondoka na mali ajaondoka na akili ya mali
 
Mali zinaweza kuwa kwenye jina lake lakini wewe ukathibitisha mchango wako wa kuzipata, mfano risiti za manunuzi au malipo ya mbalimbali kama ulifanya wewe.

Kifungu cha 114 cha sheria ya Ndoa kinaelekeza kuwa Mahakama itazingatia mambo kadhaa inapoamua kama mali ni zao la ndoa au siyo ili zigawanywe kwa wadaawa.

1. madeni yoyote yaliyoingiwa wakati wa uhai wa ndoa husika kwa manufaa ya ndoa hiyo.

2.Kiwango cha uchangiaji cha kila mwenzi kwenye upatikanaji wa mali hizo.

3. Tamaduni na mila za mahala wanapotoka wenzi hao.

kwa hiyo wewe ungeingia hapo kwenye namba 2. Rate of contribution yako ktk upatikanaji wa mali hizo. Na kama ungekuwa na ushahidi wa upatikanaji huo, basi ungepewa asilimia ya mali hizo.
 
Mpambanaji haofii kudhulimiwa kaondoka na mali ajaondoka na akili ya mali
Mazingira na Muda uloitumia kufika hapa Leo ulipo.. Hayotakaa kulingana kamwe na mazingira ya kesho na muda ambao utautumia Kurudi Tena ulipokua.

Ingekua ni rahisirahisi kama unavyosema, Basi walofirisika wangeweza kurudi kwenye ramani, naa Marajiri wasingekua wakali kwenyeMali zao.
 
Kama ulitajirika kwa dili,wizi na upigaji ukifilisika ni lazima ufilisike mazima,kama wewe ni fighter kufilisika sio mwisho.
 
Hahahahaahahaj imebidi nicheke kwanza.

Mkiambia MSIOE muwe mnaelewa sawa!!?

Liverpool VPN ana hoja nzito sana tatizo lenu hamsikii.

Haya Sasa mwingine huyu hapa tunaenda mpoteza kimwili na. Kiroho.
We kama ulipata bahati mbaya kwenye ndoa,omba tu Mungu akupe wako.
KWA wengi tu ndoa ni paradise na wanainjoi maisha ya ndoa hadi wanafanana.
Ndoa ni maturity na stability yako tu kuhandle mambo.
 
Ok

Achana na waganga tafuta panya road waseme nae[emoji1][emoji1787]
 
Tanga mapenzi yalikozaliwa Polesana samehe pesa zinatafutwa utapata zingine Bora ule ugali dagaa Kwa amani kuliko pilau kuku kwenye vita uchaw sio kitu kizuri
 
Pole sana mtoa mada..MWENYEZI MUNGU akawe faraja kwenye kipindi hiki kigumu kwako
 
mleta mada anatuchora anatuletea story za kwenye bongo movie kwenye dunia hii ya sasa amna tu anayeweza kufanya aya mambo
 
Hakika sasa nimefikia kutafuta mganga na nikipata atajua ajui hakika mali zangu azita potea labda nife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…