Tafuta pesa, hakuna mwanamke wa mtu

Tafuta pesa, hakuna mwanamke wa mtu

Mnakuaga wapi mpaka Mali zenu zitumie majina ya Mwanamke.??

MKE SIO NDUGU YAKO, NDUGU YAKO NI WATOTO.

UNAWEZA KUFA HAPA LEO ..BAADA YA MATANGA MKEO AKAOLEWA UPYAAAA NA AKAONDOKA NA KILA KITU .

Ukweli ni Kwamba, Mwanamke anatakiwa afanywe kua Mtegemezi yaan kuanzia kula yake, kuvaa kwake, Kupendeza kwake, Kila kitu chake kikutegemee wewe na nenda mbali zaidi HAKIKISHA HATA HISIA ZAKE ZINAKUTEGEMEA WEWE KAMA CHANJO CHA FURAHA YAKE NA HUZUNI ZAKE.

Sasa weee Umekutana na Mtanga, mpaka Kila kitu jina la mwanaume, ndo hayo Sasa ona !!.

HATA IVO LAZIMA, UAPE, MIMI BINFASI, HAITOKAA KUTOKEA, MTU ADHULUMU HAKI ZANGU, AWE MWANAMKE, AWE MWANAUME.

TENA HIZI SIJUI, MAUJINGA YA SHERIA ,ET SIJUI JINA LAKE , JINA LAKE WHAT,?? NDO UACHE MALI ULIZOPAMBANA ZIENDE KIRAHISI RAHISI KISA SHERIA !??

KUDHULUM NI KUDHULUM, IWE KWA NJIA ZA KISHERIA AU LAH, KUDHURUMU NI DHURUMA TU NA DHURUMA HULETA KIFO.

UKIDHULUMU, UWE TAYARI KUFA..
Mpambanaji haofii kudhulimiwa kaondoka na mali ajaondoka na akili ya mali
 
Mali zinaweza kuwa kwenye jina lake lakini wewe ukathibitisha mchango wako wa kuzipata, mfano risiti za manunuzi au malipo ya mbalimbali kama ulifanya wewe.

Kifungu cha 114 cha sheria ya Ndoa kinaelekeza kuwa Mahakama itazingatia mambo kadhaa inapoamua kama mali ni zao la ndoa au siyo ili zigawanywe kwa wadaawa.

1. madeni yoyote yaliyoingiwa wakati wa uhai wa ndoa husika kwa manufaa ya ndoa hiyo.

2.Kiwango cha uchangiaji cha kila mwenzi kwenye upatikanaji wa mali hizo.

3. Tamaduni na mila za mahala wanapotoka wenzi hao.

kwa hiyo wewe ungeingia hapo kwenye namba 2. Rate of contribution yako ktk upatikanaji wa mali hizo. Na kama ungekuwa na ushahidi wa upatikanaji huo, basi ungepewa asilimia ya mali hizo.
 
Mpambanaji haofii kudhulimiwa kaondoka na mali ajaondoka na akili ya mali
Mazingira na Muda uloitumia kufika hapa Leo ulipo.. Hayotakaa kulingana kamwe na mazingira ya kesho na muda ambao utautumia Kurudi Tena ulipokua.

Ingekua ni rahisirahisi kama unavyosema, Basi walofirisika wangeweza kurudi kwenye ramani, naa Marajiri wasingekua wakali kwenyeMali zao.
 
Kama ulitajirika kwa dili,wizi na upigaji ukifilisika ni lazima ufilisike mazima,kama wewe ni fighter kufilisika sio mwisho.
 
Hahahahaahahaj imebidi nicheke kwanza.

Mkiambia MSIOE muwe mnaelewa sawa!!?

Liverpool VPN ana hoja nzito sana tatizo lenu hamsikii.

Haya Sasa mwingine huyu hapa tunaenda mpoteza kimwili na. Kiroho.
We kama ulipata bahati mbaya kwenye ndoa,omba tu Mungu akupe wako.
KWA wengi tu ndoa ni paradise na wanainjoi maisha ya ndoa hadi wanafanana.
Ndoa ni maturity na stability yako tu kuhandle mambo.
 
Ok

Achana na waganga tafuta panya road waseme nae[emoji1][emoji1787]
 
Tanga mapenzi yalikozaliwa Polesana samehe pesa zinatafutwa utapata zingine Bora ule ugali dagaa Kwa amani kuliko pilau kuku kwenye vita uchaw sio kitu kizuri
 
mleta mada anatuchora anatuletea story za kwenye bongo movie kwenye dunia hii ya sasa amna tu anayeweza kufanya aya mambo
 
Mnakuaga wapi mpaka Mali zenu zitumie majina ya Mwanamke.??

MKE SIO NDUGU YAKO, NDUGU YAKO NI WATOTO.

UNAWEZA KUFA HAPA LEO ..BAADA YA MATANGA MKEO AKAOLEWA UPYAAAA NA AKAONDOKA NA KILA KITU .

Ukweli ni Kwamba, Mwanamke anatakiwa afanywe kua Mtegemezi yaan kuanzia kula yake, kuvaa kwake, Kupendeza kwake, Kila kitu chake kikutegemee wewe na nenda mbali zaidi HAKIKISHA HATA HISIA ZAKE ZINAKUTEGEMEA WEWE KAMA CHANJO CHA FURAHA YAKE NA HUZUNI ZAKE.

Sasa weee Umekutana na Mtanga, mpaka Kila kitu jina la mwanaume, ndo hayo Sasa ona !!.

HATA IVO LAZIMA, UAPE, MIMI BINFASI, HAITOKAA KUTOKEA, MTU ADHULUMU HAKI ZANGU, AWE MWANAMKE, AWE MWANAUME.

TENA HIZI SIJUI, MAUJINGA YA SHERIA ,ET SIJUI JINA LAKE , JINA LAKE WHAT,?? NDO UACHE MALI ULIZOPAMBANA ZIENDE KIRAHISI RAHISI KISA SHERIA !??

KUDHULUM NI KUDHULUM, IWE KWA NJIA ZA KISHERIA AU LAH, KUDHURUMU NI DHURUMA TU NA DHURUMA HULETA KIFO.

UKIDHULUMU, UWE TAYARI KUFA..
Hakika sasa nimefikia kutafuta mganga na nikipata atajua ajui hakika mali zangu azita potea labda nife
 
Back
Top Bottom