Tafuta pesa, hakuna mwanamke wa mtu

Tafuta pesa, hakuna mwanamke wa mtu

Habari

Habari

Haba tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa inyenyekevu sana ndugu yenu

Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna maguli wa kila namna ya wamejaaa tele.

Kujana mwezenu nimezulumiwa haki yangu

HISTORIA FUPI
Mwaka 2013 nilioa mwanamke wa Ki Tanga
Nilibahatika kupata mtoto mmoja na uyo binti

Mwaka 2015 nilibahatika kujenga nyumba
Mwaka 2017 nilibahatika kununua gari lenye dhamani ya ML 9

Wakati hayo yote nikiyafanya nilikuwa na mke wangu mpendwa tena alikuwa ananipenda kupitiliza

Mwaka 2018 niligundua mke wangu ana mahusiano na kijana wangu wa DUKANI

Kiukweli iliniuma sana sana baada ya hushauri wa wa mrafiki nikaamua nimuache hapo ndipi sheria ilipo chukua nafasi

Ila sheria ilinisaliti na ndipi maisha yangu yakabadilika kabisaaa wakati nanunua kiwanja gari vyote niliandika kwa jina lake

Na sasa mwanamke amebadilika na kusema vyote ni vyake na sheria imemuamini kwa maana majina yote ya kwenye hati ni majina yake

Kiukweli inaniuma sana kwa sasa sina hata pesa ya kuendeleza kesi

SASA BASI NAOMBA MSAHADA WA NGUVU KWA MWENYE UWEZO

NATAFUTA MGANGA TENA MGANGA WA KWELI AMBAE ANAUWEZO WA HALI YA JUU NIWEZE KUTETA NAE KWA MAANA MWENZANGU YEYE ANATEMBEA KWA WAGANGA KILA SIKU

NAOMBA YOYOTE ANAE TAKA KUNISAIDIA AJE INBOX NAITAJI MGANGA NAITAJI MNGANGA

NISAIDIENI NDUNGU ZANGU.
kijana wa dukani kwako kapindua meza ya boss, kweli pata pesa utahamisha hata makaburi ya mtaa mzima
 
Pumbavu una akili kweli wewe? Sasa nyumba, gari vina jina la mtu mwingine utasemaje ni vyako? Unataka kumtapeli mtu? Nawe tafuta vyako andika jina lako.
Itakuwa wewe ndio mwanasharia wake
 
Kama ulipambana kuvipata pia utapambana utapata. Huko kwenye ushirikina huwa Hakuna mshindi. Ukimroga ndugu zake nao watakupa. Maadamu ushazaa nae, mwachie akaishi na huyo kijana wa dukani. Ulianzaje SAsa kuandika jina lake bila lako.
Upendo na kumuamini ndio vimezaa hayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sina mbavu hoi uku mwamba kampambani mtu kiulainiNdomana vijana kila tukifkiria kuoa Bado tunaumiza vichwa Kwa ugai gai unaendelea zama hizi ni hatariiiiii

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Habari

Habari

Haba tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa inyenyekevu sana ndugu yenu

Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna maguli wa kila namna ya wamejaaa tele.

Kujana mwezenu nimezulumiwa haki yangu

HISTORIA FUPI
Mwaka 2013 nilioa mwanamke wa Ki Tanga
Nilibahatika kupata mtoto mmoja na uyo binti

Mwaka 2015 nilibahatika kujenga nyumba
Mwaka 2017 nilibahatika kununua gari lenye dhamani ya ML 9

Wakati hayo yote nikiyafanya nilikuwa na mke wangu mpendwa tena alikuwa ananipenda kupitiliza

Mwaka 2018 niligundua mke wangu ana mahusiano na kijana wangu wa DUKANI

Kiukweli iliniuma sana sana baada ya hushauri wa wa mrafiki nikaamua nimuache hapo ndipi sheria ilipo chukua nafasi

Ila sheria ilinisaliti na ndipi maisha yangu yakabadilika kabisaaa wakati nanunua kiwanja gari vyote niliandika kwa jina lake

Na sasa mwanamke amebadilika na kusema vyote ni vyake na sheria imemuamini kwa maana majina yote ya kwenye hati ni majina yake

Kiukweli inaniuma sana kwa sasa sina hata pesa ya kuendeleza kesi

SASA BASI NAOMBA MSAHADA WA NGUVU KWA MWENYE UWEZO

NATAFUTA MGANGA TENA MGANGA WA KWELI AMBAE ANAUWEZO WA HALI YA JUU NIWEZE KUTETA NAE KWA MAANA MWENZANGU YEYE ANATEMBEA KWA WAGANGA KILA SIKU

NAOMBA YOYOTE ANAE TAKA KUNISAIDIA AJE INBOX NAITAJI MGANGA NAITAJI MNGANGA

NISAIDIENI NDUNGU ZANGU.
nenda msitu wa tembo simanjiro ulizia kwa Babu
 
Mali zinaweza kuwa kwenye jina lake lakini wewe ukathibitisha mchango wako wa kuzipata, mfano risiti za manunuzi au malipo ya mbalimbali kama ulifanya wewe.

Kifungu cha 114 cha sheria ya Ndoa kinaelekeza kuwa Mahakama itazingatia mambo kadhaa inapoamua kama mali ni zao la ndoa au siyo ili zigawanywe kwa wadaawa.

1. madeni yoyote yaliyoingiwa wakati wa uhai wa ndoa husika kwa manufaa ya ndoa hiyo.

2.Kiwango cha uchangiaji cha kila mwenzi kwenye upatikanaji wa mali hizo.

3. Tamaduni na mila za mahala wanapotoka wenzi hao.

kwa hiyo wewe ungeingia hapo kwenye namba 2. Rate of contribution yako ktk upatikanaji wa mali hizo. Na kama ungekuwa na ushahidi wa upatikanaji huo, basi ungepewa asilimia ya mali hizo.
Yaani haki kuipata ni shida sijui kwanini nataman hii kesi ingekuwa nchi nyingine tayari ningepata haki yangu yaani uyu mwanamke anatumia pesa na uchawi kuzima haki yangu.
 
Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Sakata Rhumba achilia pressure
Tutacheza hata kama hatuna pesa
..........hatujui kama tutaonana teena.
 
Unakwenda kwa mganga unakuta mganga mjomba wake, si ndio wanakumaliza tena🤣.
 
Mnakuaga wapi mpaka Mali zenu zitumie majina ya Mwanamke.??

MKE SIO NDUGU YAKO, NDUGU YAKO NI WATOTO.

UNAWEZA KUFA HAPA LEO ..BAADA YA MATANGA MKEO AKAOLEWA UPYAAAA NA AKAONDOKA NA KILA KITU .

Ukweli ni Kwamba, Mwanamke anatakiwa afanywe kua Mtegemezi yaan kuanzia kula yake, kuvaa kwake, Kupendeza kwake, Kila kitu chake kikutegemee wewe na nenda mbali zaidi HAKIKISHA HATA HISIA ZAKE ZINAKUTEGEMEA WEWE KAMA CHANJO CHA FURAHA YAKE NA HUZUNI ZAKE.

Sasa weee Umekutana na Mtanga, mpaka Kila kitu jina la mwanaume, ndo hayo Sasa ona !!.

HATA IVO LAZIMA, UAPE, MIMI BINFASI, HAITOKAA KUTOKEA, MTU ADHULUMU HAKI ZANGU, AWE MWANAMKE, AWE MWANAUME.

TENA HIZI SIJUI, MAUJINGA YA SHERIA ,ET SIJUI JINA LAKE , JINA LAKE WHAT,?? NDO UACHE MALI ULIZOPAMBANA ZIENDE KIRAHISI RAHISI KISA SHERIA !??

KUDHULUM NI KUDHULUM, IWE KWA NJIA ZA KISHERIA AU LAH, KUDHURUMU NI DHURUMA TU NA DHURUMA HULETA KIFO.

UKIDHULUMU, UWE TAYARI KUFA..
Mawazo ya mwanaume ndio haya sasa.tofauti na hapa basi itakua mwanaume anafikiria na kuwaza katika mawimbi ya mwanamke.

[emoji123]

Sent from my Nokia 3.4 using JamiiForums mobile app
 
Kama ulipata mara ya kwanza acha kupoteza muda na huyo mtanga.
 
Aiseeee pole sana kijana Allah akufanyie wepesi inshaallah
 
Habari

Habari

Haba tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa inyenyekevu sana ndugu yenu

Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna maguli wa kila namna ya wamejaaa tele.

Kujana mwezenu nimezulumiwa haki yangu

HISTORIA FUPI
Mwaka 2013 nilioa mwanamke wa Ki Tanga
Nilibahatika kupata mtoto mmoja na uyo binti

Mwaka 2015 nilibahatika kujenga nyumba
Mwaka 2017 nilibahatika kununua gari lenye dhamani ya ML 9

Wakati hayo yote nikiyafanya nilikuwa na mke wangu mpendwa tena alikuwa ananipenda kupitiliza

Mwaka 2018 niligundua mke wangu ana mahusiano na kijana wangu wa DUKANI

Kiukweli iliniuma sana sana baada ya hushauri wa wa mrafiki nikaamua nimuache hapo ndipi sheria ilipo chukua nafasi

Ila sheria ilinisaliti na ndipi maisha yangu yakabadilika kabisaaa wakati nanunua kiwanja gari vyote niliandika kwa jina lake

Na sasa mwanamke amebadilika na kusema vyote ni vyake na sheria imemuamini kwa maana majina yote ya kwenye hati ni majina yake

Kiukweli inaniuma sana kwa sasa sina hata pesa ya kuendeleza kesi

SASA BASI NAOMBA MSAHADA WA NGUVU KWA MWENYE UWEZO

NATAFUTA MGANGA TENA MGANGA WA KWELI AMBAE ANAUWEZO WA HALI YA JUU NIWEZE KUTETA NAE KWA MAANA MWENZANGU YEYE ANATEMBEA KWA WAGANGA KILA SIKU

NAOMBA YOYOTE ANAE TAKA KUNISAIDIA AJE INBOX NAITAJI MGANGA NAITAJI MNGANGA

NISAIDIENI NDUNGU ZANGU.
Mkuu ilikuwa pisi kali sana!
 
Back
Top Bottom