Tafuta pesa, hakuna mwanamke wa mtu

Tafuta pesa, hakuna mwanamke wa mtu

Nakuonya

Achana mke wa mtu, tena Kaa mbali pesa zako isiwe fimbo ya kuwaumiza wengine.
 
Mnakuaga wapi mpaka Mali zenu zitumie majina ya Mwanamke.??

MKE SIO NDUGU YAKO, NDUGU YAKO NI WATOTO.

UNAWEZA KUFA HAPA LEO ..BAADA YA MATANGA MKEO AKAOLEWA UPYAAAA NA AKAONDOKA NA KILA KITU .

Ukweli ni Kwamba, Mwanamke anatakiwa afanywe kua Mtegemezi yaan kuanzia kula yake, kuvaa kwake, Kupendeza kwake, Kila kitu chake kikutegemee wewe na nenda mbali zaidi HAKIKISHA HATA HISIA ZAKE ZINAKUTEGEMEA WEWE KAMA CHANJO CHA FURAHA YAKE NA HUZUNI ZAKE.

Sasa weee Umekutana na Mtanga, mpaka Kila kitu jina la mwanaume, ndo hayo Sasa ona !!.

HATA IVO LAZIMA, UAPE, MIMI BINFASI, HAITOKAA KUTOKEA, MTU ADHULUMU HAKI ZANGU, AWE MWANAMKE, AWE MWANAUME.

TENA HIZI SIJUI, MAUJINGA YA SHERIA ,ET SIJUI JINA LAKE , JINA LAKE WHAT,?? NDO UACHE MALI ULIZOPAMBANA ZIENDE KIRAHISI RAHISI KISA SHERIA !??

KUDHULUM NI KUDHULUM, IWE KWA NJIA ZA KISHERIA AU LAH, KUDHURUMU NI DHURUMA TU NA DHURUMA HULETA KIFO.

UKIDHULUMU, UWE TAYARI KUFA..
Tatizo utakuwa ushakufa mkuu
 
Habari

Habari

Haba tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa inyenyekevu sana ndugu yenu

Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna maguli wa kila namna ya wamejaaa tele.

Kujana mwezenu nimezulumiwa haki yangu

HISTORIA FUPI
Mwaka 2013 nilioa mwanamke wa Ki Tanga
Nilibahatika kupata mtoto mmoja na uyo binti

Mwaka 2015 nilibahatika kujenga nyumba
Mwaka 2017 nilibahatika kununua gari lenye dhamani ya ML 9

Wakati hayo yote nikiyafanya nilikuwa na mke wangu mpendwa tena alikuwa ananipenda kupitiliza

Mwaka 2018 niligundua mke wangu ana mahusiano na kijana wangu wa DUKANI

Kiukweli iliniuma sana sana baada ya hushauri wa wa mrafiki nikaamua nimuache hapo ndipi sheria ilipo chukua nafasi

Ila sheria ilinisaliti na ndipi maisha yangu yakabadilika kabisaaa wakati nanunua kiwanja gari vyote niliandika kwa jina lake

Na sasa mwanamke amebadilika na kusema vyote ni vyake na sheria imemuamini kwa maana majina yote ya kwenye hati ni majina yake

Kiukweli inaniuma sana kwa sasa sina hata pesa ya kuendeleza kesi

SASA BASI NAOMBA MSAHADA WA NGUVU KWA MWENYE UWEZO

NATAFUTA MGANGA TENA MGANGA WA KWELI AMBAE ANAUWEZO WA HALI YA JUU NIWEZE KUTETA NAE KWA MAANA MWENZANGU YEYE ANATEMBEA KWA WAGANGA KILA SIKU

NAOMBA YOYOTE ANAE TAKA KUNISAIDIA AJE INBOX NAITAJI MGANGA NAITAJI MNGANGA

NISAIDIENI NDUNGU ZANGU.
Ukimpata huyo mganga ujiloge au ujilogoe kwanza wewe mwenyewe...!!!!

Kwanini uliandika majina yake kwenye mali zako?

Au alikupa mauno sana, ukabweteka?

Basi hizo ni mali zake mbele ya sheria, maana kuna kitu alikufanyia mpaka roho yako ikaridhia ukamwandika yeye.

Au uliwekewa mtutu wa bunduki?
 
Etiiii Taaaanga nyumba shoga nyumba mganga
Sasa twende utakuta nyumba shoka nyumba Panga
Huku hassan mwakinyo huku January Makamba
 
Ukimpata huyo mganga ujiloge au ujilogoe kwanza wewe mwenyewe...!!!!

Kwanini uliandika majina yake kwenye mali zako?

Au alikupa mauno sana, ukabweteka?

Basi hizo ni mali zake mbele ya sheria, maana kuna kitu alikufanyia mpaka roho yako ikaridhia ukamwandika yeye.

Au uliwekewa mtutu wa bunduki?
Nilimpenda kumbe yeye alikua na tageti zake
 
Maana ya Ndoa:– kuishi pamoja na kulala pamoja na adui yako kitanda kimoja kuna watu wamevurugwa.
 
Habari

Habari

Haba tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa inyenyekevu sana ndugu yenu

Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna maguli wa kila namna ya wamejaaa tele.

Kujana mwezenu nimezulumiwa haki yangu

HISTORIA FUPI
Mwaka 2013 nilioa mwanamke wa Ki Tanga
Nilibahatika kupata mtoto mmoja na uyo binti

Mwaka 2015 nilibahatika kujenga nyumba
Mwaka 2017 nilibahatika kununua gari lenye dhamani ya ML 9

Wakati hayo yote nikiyafanya nilikuwa na mke wangu mpendwa tena alikuwa ananipenda kupitiliza

Mwaka 2018 niligundua mke wangu ana mahusiano na kijana wangu wa DUKANI

Kiukweli iliniuma sana sana baada ya hushauri wa wa mrafiki nikaamua nimuache hapo ndipi sheria ilipo chukua nafasi

Ila sheria ilinisaliti na ndipi maisha yangu yakabadilika kabisaaa wakati nanunua kiwanja gari vyote niliandika kwa jina lake

Na sasa mwanamke amebadilika na kusema vyote ni vyake na sheria imemuamini kwa maana majina yote ya kwenye hati ni majina yake

Kiukweli inaniuma sana kwa sasa sina hata pesa ya kuendeleza kesi

SASA BASI NAOMBA MSAHADA WA NGUVU KWA MWENYE UWEZO

NATAFUTA MGANGA TENA MGANGA WA KWELI AMBAE ANAUWEZO WA HALI YA JUU NIWEZE KUTETA NAE KWA MAANA MWENZANGU YEYE ANATEMBEA KWA WAGANGA KILA SIKU

NAOMBA YOYOTE ANAE TAKA KUNISAIDIA AJE INBOX NAITAJI MGANGA NAITAJI MNGANGA

NISAIDIENI NDUNGU ZANGU.

Unatumalizia Oksijeni, ikimpendeza Mola akuchukue mjinga mmoja wewe hatutapata hasara yoyote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwisha kabisa.

Mwambie...
Halafu tukiwaambia Msioeeee huwa hawataki kusikia.

#YNWA
 
Wewe unaweka kichwa cha uzi kuwa tutafute hela afu kumbe wewe umezitafuta afu ukamkabidhi mwanamke [emoji1787][emoji1787].
Afu unategemea tutashawishika kuzitafuta akati umekuja na kulia hapa.

Huyu bwege nn[emoji16][emoji16]
 
Habari

Habari

Hapa tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa unyenyekevu sana ndugu yenu.

Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna manguli wa kila namna ya wamejaaa tele.

Kijana mwenzenu nimezulumiwa haki yangu.

HISTORIA FUPI
Mwaka 2013 nilioa mwanamke wa Kitanga, nilibahatika kupata mtoto mmoja na uyo binti, mwaka 2015 nilibahatika kujenga nyumba.

Mwaka 2017 nilibahatika kununua gari lenye dhamani ya ML 9, wakati hayo yote nikiyafanya nilikuwa na mke wangu mpendwa tena alikuwa ananipenda kupitiliza

Mwaka 2018 niligundua mke wangu ana mahusiano na kijana wangu wa dukani, kiukweli iliniuma sana sana baada ya ushauri wa marafiki nikaamua nimuache hapo ndipo sheria ilipo chukua nafasi.

Ila sheria ilinisaliti na ndipo maisha yangu yakabadilika kabisa wakati nanunua kiwanja gari vyote niliandika kwa jina lake.

Na sasa mwanamke amebadilika na kusema vyote ni vyake na sheria imemuamini kwa maana majina yote ya kwenye hati ni majina yake.

Kiukweli inaniuma sana kwa sasa sina hata pesa ya kuendeleza kesi.

SASA BASI NAOMBA MSAADA WA NGUVU KWA MWENYE UWEZO

NATAFUTA MGANGA TENA MGANGA WA KWELI AMBAE ANAUWEZO WA HALI YA JUU NIWEZE KUTETA NAE KWA MAANA MWENZANGU YEYE ANATEMBEA KWA WAGANGA KILA SIKU

NAOMBA YOYOTE ANAE TAKA KUNISAIDIA AJE INBOX NAITAJI MGANGA NAITAJI MNGANGA

NISAIDIENI NDUNGU ZANGU.
Asee we ni fala sana mkuu 🤣🤣🤣🤣.

Note mwanamke usimuendelezeee
 
Back
Top Bottom