TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Maisha sio fair, watu pia hawapo fair.
Inabidi kutafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi.
Leo hii kuna watu walipata ajari kwenye gari moja au ndege moja na watu maarufu lakini vifo vyao havikutangazwa.
Mwaka 2020 unaisha na mimi nakubali hakuna nililofanya zaidi ya ku comment R.I.P kwenye post za matajiri waliokufa kama R.Mengi, Ruge, Patel n.k.
Lakini 2021 naahidi kupambana mpaka siku mbwa wangu akifa nitumiwe salamu za pole.
Uzi teyari
😂😂😂😂😂😂