Tafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi

Tafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi

Pesa sio kila kituu
hata kama pesa itanunua vyote hivyo itakua ni fake hakuna ureallity hapo utapewa kwasababu ya pesaa na ukishiwaa na heshima yako inashukaa.Live really life dont fake life
 
Jiweke wazi wewe ni SHOGA sio ujifananishe na wakezetu.
Kuna sehem nimejifanansha na mkeo? Au huyo mkeo anaweza kufanana na mie? Plz huyo mkeo akaanze upya hanikuti kwa lolote lile.
Afu jushikilie wee m2, huyo mkeo hana status ya kufananishwa na mie, au unaona raha mkeo afanane ha mie? Poleeeeeh San usinishushe ki hivo msieeeeeeew
 
s
Habari wadau!

Maisha sio fair, watu pia hawapo fair.
Inabidi kutafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi.

Leo hii kuna watu walipata ajari kwenye gari moja au ndege moja na watu maarufu lakini vifo vyao havikutangazwa.

Mwaka 2020 unaisha na mimi nakubali hakuna nililofanya zaidi ya ku comment R.I.P kwenye post za matajiri waliokufa kama R.Mengi, Ruge, Patel n.k.

Lakini 2021 naahidi kupambana mpaka siku mbwa wangu akifa nitumiwe salamu za pole.

Uzi teyari
😂😂😂😂😂😂
struggle is the duty of man, so struggle hard and get what you need don't give up
 
Pesa hainunui furaha, marafiki wa kweli, usingizi quality, afya na uhai
Hacha ujinga ww pesa hainunui usingizi nani kasema???inamaana anayelala lodge ya buku 5 full kunguni pale Mwandiga Guest House na anayelala Hotel ya nyota tano wanafanana usingizi???🤔🤔🤔🤔
 
Hacha ujinga ww pesa hainunui usingizi nani kasema???inamaana anayelala lodge ya buku 5 full kunguni pale Mwandiga Guest House na anayelala Hotel ya nyota tano wanafanana usingizi???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Naona unafanyia mazoezi elimu uliyofuzu kwenye skuli ya matusi. Najua hujafikiria japo zaidi kidogo kabla ya kuandika maoni yako. Don't be so naive.
 
Uzi wako nimeupenda.
Uzi wa kutiana moyo.
Pambana upate pesa, usikubali kukatishwa tamaa, maana miongoni mwetu kuna wanaojua kutafuta kazi za kuajiriwa tu, hawajui kutafuta pesa.
Nchi yetu ina fursa za kutosha lakini ni wachache wanaoziona.
 
Pesa sio kila kituu
hata kama pesa itanunua vyote hivyo itakua ni fake hakuna ureallity hapo utapewa kwasababu ya pesaa na ukishiwaa na heshima yako inashukaa.Live really life dont fake life
Pata kwanza pesa ndio uongee kauli kama hizi.
Maana hizi ni kauli za kishujaa kwa masikini na wavivu
 
Uzi wako nimeupenda.
Uzi wa kutiana moyo.
Pambana upate pesa, usikubali kukatishwa tamaa, maana miongoni mwetu kuna wanaojua kutafuta kazi za kuajiriwa tu, hawajui kutafuta pesa.
Nchi yetu ina fursa za kutosha lakini ni wachache wanaoziona.
Eeh watu wapambane bhana..!
 
Kuna sehem nimejifanansha na mkeo? Au huyo mkeo anaweza kufanana na mie? Plz huyo mkeo akaanze upya hanikuti kwa lolote lile.
Afu jushikilie wee m2, huyo mkeo hana status ya kufananishwa na mie, au unaona raha mkeo afanane ha mie? Poleeeeeh San usinishushe ki hivo msieeeeeeew
Muweke kwenye 'ignored list', asikuzeeshe,
Mi jobless ndivyo inavyokuaga.
 
Back
Top Bottom