TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Pesa ndio kila kitu baba inanunua hivyo vyoteWenye pesa pia wanatamani vitu vingine
Ambavyo masikini wanavyo lakini havipatikan Kwa pesa..
Afya
Time..
Kupendwa na watu..
Usingizi stress free..
Watu kutokuwa na expectations kubwa na wewe
Wasiwasi WA kuibiwa na kutapeliwa.
Kutopewa heshima bandia..
Mapenzi bandia..n.k n.k
Huwa nikiona comment yako, najua ni busara na hekima tupu, hujawahi kukosea.Wenye pesa pia wanatamani vitu vingine
Ambavyo masikini wanavyo lakini havipatikan Kwa pesa..
Afya
Time..
Kupendwa na watu..
Usingizi stress free..
Watu kutokuwa na expectations kubwa na wewe
Wasiwasi WA kuibiwa na kutapeliwa.
Kutopewa heshima bandia..
Mapenzi bandia..n.k n.k
Uzi wa kiboya sanaHabari wadau!
Maisha sio fair, watu pia hawapo fair.
Inabidi kutafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi.
Leo hii kuna watu walipata ajari kwenye gari moja au ndege moja na watu maarufu lakini vifo vyao havikutangazwa.
Mwaka 2020 unaisha na mimi nakubali hakuna nililofanya zaidi ya ku comment R.I.P kwenye post za matajiri waliokufa kama R.Mengi, Ruge, Patel n.k.
Lakini 2021 naahidi kupambana mpaka siku mbwa wangu akifa nitumiwe salamu za pole.
Uzi teyari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni shogaHuwa nikiona comment yako, najua ni busara na hekima tupu, hujawahi kukosea.
Ila ushakamilikaUzi wa kiboya sana
Wenye pesa pia wanatamani vitu vingine
Ambavyo masikini wanavyo lakini havipatikan Kwa pesa..
Afya
Time..
Kupendwa na watu..
Usingizi stress free..
Watu kutokuwa na expectations kubwa na wewe
Wasiwasi WA kuibiwa na kutapeliwa.
Kutopewa heshima bandia..
Mapenzi bandia..n.k n.k
So what expert? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni shoga
Jiweke wazi wewe ni SHOGA sio ujifananishe na wakezetu.So what expert? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo havinunuliwi mkuu.Pesa ndio kila kitu baba inanunua hivyo vyote
Watu wamekufa 2019 wewe unaitumia 2020 kuandika R.i.p, wewe si chapati ya dengu weweHabari wadau!