Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oky Ngoja tuite KiKonokono
[emoji23][emoji23]napita Kwa
. Maringo
Yan mm na Kibamia damu damu ndo maana nimepita Kwa MaringoHaya angalia usijikwae tu dada angu maana watasema ulikuwa unakishangaa kiba100
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] nikikumata wewe!!!!Kimutuz
Wakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume.
Ukizinguana na demu tu kashakutangaza kwamba wewe ni kibamia. [emoji23] [emoji23]
Imefikia hatua Hadi mtu ukisikia hata kwenye wimbo vimetajwa mashine na kibamia mtu unaanza kujiuliza upo kundi gani. Na hapo ndio panapoboa zaidi maana walioanzisha hako kajina hawajatoa kipimo Kwamba Kuanzia hapa Hadi hapa ni kibamia na hapa ni mashine.kwaiyo maana yake ukiitwa kibamia au mashine na mwanamke ujue kakulinganisha na mshkaji wake mwingine[emoji17] .
Wanawake yenu tunayajua lakini Tunawasitiri, ebu tupumzisheni na hako kajina jamani. Au mnataka na Sisi tulete yenu mezani?
Nawasilisha.
basi kiitwe KIMBOGAWakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume.