Inaandika UNA halafu unategemea utapata hela
Halafu unasahihishwa unarudia yale yake eti uHandishi sasa hiyo H huwa inawakosea nini kuitumia pasipo mahali pake ?
Yupo dogo mmoja kila kukicha namuambia ajirekebishe ananiambia kazoea kuandika hivyo
Nimemwambia atunge kitabu kwa maandishi hayo apate hela