The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hata wewe pia lugha ni changamoto kwako,sio nazani ni nadhani.Hata hapa, bado lugha ni changamoto. Pole sana, nazani ndo sabab ccm wanaendelea kutawala tz toka uhuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe pia lugha ni changamoto kwako,sio nazani ni nadhani.Hata hapa, bado lugha ni changamoto. Pole sana, nazani ndo sabab ccm wanaendelea kutawala tz toka uhuru.
Umeamua kuniundia kambi mambo ya ng'oswe muachie ng'oswe.Hata hapa, bado lugha ni changamoto. Pole sana, nazani ndo sabab ccm wanaendelea kutawala tz toka uhuru.
😀 Jamani ni makosa tu ya uandikaji wengine visawe tulifeli 😊Saasa hiyo "Una" ndio una maanisha "Huna?"
Maana ukisema "Ukiwa una pesa" maana yake ni kua Pesa unazo tayari.