Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichomfanya awe addicted na madawa alimuua mtuhumiwa mmoja na kumzika ndani ya nyumba yakeAgent Mahone nilipenda the way alikua anaunganisha dots kugundua codes za Michael Scofield
Alikua anaeliminate wale watuhumiwa sugu kimya kimya
Yani kanishangaza nikafikiri huyo alex tupo nae huku kitaa.. na jambo la movie yeye analiweka kwenye hali halisi.Pale unapofikiri watu wote wanaishi kwenye fikra zako
Michael is more intelligent, however Mahone is much more tactical and better during firefights. Michael excels at creating plans and adapting to changing situations.Huyu Mahone ni mwamba haswa ni intelligent, katili, jasiri na mjanja Sana.
Moja kati ya waigizaji walionivutia zaidi kwenye PB.
View attachment 3111032
Mnabishana ujinga mtupu. Director na mtunzi wa story ndo wenye akili. Hao kina Michael na Mahone ni waigizaji tu kwa kufuata scripts.Michael is more intelligent, however Mahone is much more tactical and better during firefights. Michael excels at creating plans and adapting to changing situations.
PB ndo Planer Bongo?Huyu Mahone ni mwamba haswa ni intelligent, katili, jasiri na mjanja Sana.
Moja kati ya waigizaji walionivutia zaidi kwenye PB.
View attachment 3111032
NIPE CODEHuyu Mahone ni mwamba haswa ni intelligent, katili, jasiri na mjanja Sana.
Moja kati ya waigizaji walionivutia zaidi kwenye PB.
View attachment 3111032
I was born on the mountain sidePamoja na yotee ila T bag 😂😂 ni wakumdunda kwa kila kitu. He had no friends, he lied to them na they believed him. . anakauli yake anasema I was born on the mountain side 😂😂