Tafutwa na wote ila sio Alex Mahone

Tafutwa na wote ila sio Alex Mahone

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Huyu Mahone ni mwamba haswa ni intelligent, katili, jasiri na mjanja Sana.

Moja kati ya waigizaji walionivutia zaidi kwenye PB.

20240930_110559.jpg
 
Erik ten hag anawasalimia.

Mtu unawezaje kuingiza maisha ya kwenye movie kwenye uhalisia.
Crédit ni kwa muandishi wa hiyo movie.
 
Back
Top Bottom