Tag and Ask

Dogo vipi na leo ulipita juani?
 
Babu una laana wewe wallah
 
Asprin ana miaka 22 tu kwa sasa, kwahiyo vumilia tu, mko nae sanaaaaa.
 
Mhhh Foleni???????
Hakuna sehemu isiyo na foleni bwana.
Hata kanisani tunavyotoa sadaka tunapanga foleni.
Dar yenyewe na ile foleni kubwa kuna watu wanawahi kazini kila siku na wanaamka saa moja kamili.
Mkuu naona umejiandaa kwa mateso..Haya bana..Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…