Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Usijali tuko pamoja mdogo wangu Amiin mingi mingi kwa dua zako mwaya.

Hahahaa!! Hao wa huko kwa PM kiukweli hawaepukiki kabisaa.

Aunt yangu Heaven Sent huwa ananikosha na magazeti mazito japo siku hizi napishanaga naye sana majukwaani na pia kayapunguza nadhani majukumu hayo. [emoji3]
Karibu sana Shadeeya
Tupo pamoja Dear..Much Love.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa. Kweli aisee kutokuandika nacho ni kipaji kikubwa kweli na hawa ndugu zangu wanacho.

Mi nikitaka nisiandike basi nisilogin nje ya hapo lazima tu ntaandika yaani.

Hahahaaaa. Hamna hauwezi kufukuliwa bana. 😀😀😀😀
😀 😀 😀 😀
Ni kujitahidi kuwa na hekima tu maana unaweza ona kama watu hawakuoni vile ila siku kikinuka watahakikisha umeona rangi zote za kwenye upinde wa mvua, hakuna rangi utaacha kuona.
 
Back
Top Bottom