Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Wadada hamuaminiki nyie..hapo ukute piemu huko kuna mtu anachat nae unasema yule Joanah sikapendi kale kadada basi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu acha uchochezi basi

Ama kama kawaida comment kwa hisani ya k vant?manake "ukipendezaga" unakuwaga negative kinyama
 
Mkuu,wawili ni wachache mno

Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha

Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi Zoë mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
Ahsante sana Jojo
Huyo karma sahivi aitwa bibi Zu Zoë
 
Mkuu,wawili ni wachache mno

Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha

Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi Zoë mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
[emoji3526][emoji1696][emoji171]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswa wewe Depal...

Siku unakua umenuna...
Siku unakua ni likes tuu...
Siku unakua n comment mfululizo...
Siku unakuga kama mbwai na iwe mbwai...

Though hii yote ni kujiami kwako but in reality... you are sweet inside... same to yna2 same to Shunie

Cc: mahondaw
Naona umenimaliza kabisa... Hiyo kununa sijawahi jamani emu usinisingizie 😀😀😀
 
Hakika kupewa tag na role model sio mchezo mzee.. im humbled fam

Hongera Saint Anne kwa kukubalika na huyu kibopa [emoji4][emoji4][emoji4] and nakukubali pia the REALEST
Asante sana
Nimefurahi pia amenisaidia kuwasilisha mawazo yangu kwa kukutag[emoji171]

Super Villain we love you [emoji3590]

Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain usije haribu kazi za watu [emoji23][emoji23]
Dah loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeisha.
 
Back
Top Bottom