Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu usemalo nimelifikiria sana.Kutokuandika mara kwa mara nacho kipaji,
Mimi niliamua kufungua verified Id ili angalau nijifunze kufunga mdomo lakini wapi, kila siku nayaporomosha tu.
Miaka ya mbele watu wakianza kufukua makaburi yangu, Mungu pekee ndo anajua 😀😀😀😀
Natamani kuweka jina halisi na kuwa verified user lakini naona gharama yake baadae ni kubwa mno.