Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Kutokuandika mara kwa mara nacho kipaji,
Mimi niliamua kufungua verified Id ili angalau nijifunze kufunga mdomo lakini wapi, kila siku nayaporomosha tu.
Miaka ya mbele watu wakianza kufukua makaburi yangu, Mungu pekee ndo anajua 😀😀😀😀
Mkuu usemalo nimelifikiria sana.
Natamani kuweka jina halisi na kuwa verified user lakini naona gharama yake baadae ni kubwa mno.
 
Mkuu,wawili ni wachache mno

Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha

Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi Zoë mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
Sasa mdogo wangu umenitajia favorites people wangu wote huoni kama utanimalizia.???

you're one of the 'toppest' (halipo kwenye kimalkia) girls I do admire humu ndani pia.!!
 
Hakika kupewa tag na role model sio mchezo mzee.. im humbled fam

Hongera Saint Anne kwa kukubalika na huyu kibopa 😊😊😊 and nakukubali pia the REALEST
Toa list yako mzee wangu acha habari nyeusi nitakupasua kichwa kama jana ujue alafu mm usiniweke kwenye top list yako ujue 😂 maana najua mm nipo namba 5 na hapa wanataka wa 2 tu ukinitag najua unazingua maana nawajua nitawatag kwa niaba yako ujue 😎
 
Wawili tu?! Wengine tunao mia kidogo ila kwa kuanzia nakazia hao hao uliowatag wewe.
Shunie haka kababe nakapenda kabisa kwanza kako charming, pili ni mfuasi wa mastory anayopost huko entertainment.

Smart911 huyu mpendwa hanaga makuu, humkuti kwenye malumbano hasi hata kwa bahati mbaya. pia siku hizi kawa mtundu sana kwenye comments zake....ila mambo yake ngoja nimuachie mwenyewe.

Nyongeza:
#Maboss zangu na nusu [emoji177] Mjep yna2
# pia kuna bibi Zuu Zoë
.......na hapo bado kuna wale secret admirers ' nyie ndio mnaitaga ma-crush eeh! Hapa wako kama mia 3 ishirini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Depal ake jamani, najua unaelewa jinsi ninavyokukubali wewe kivuruge wangu.

Ila hili jina lako jipya ulilonitunuku sijui nimekukosea nini, ni kupenda app tu ama kuna kingine. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Depal ake jamani, najua unaelewa jinsi ninavyokukubali wewe kivuruge wangu.

Ila hili jina lako jipya ulilonitunuku sijui nimekukosea nini, ni kupenda app tu ama kuna kingine. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uhuh nakuelewa dada Monitress 😂😂

Hilo jina jipya ni cheo chako asee, haiwezekani mtoto mbichii unatumia app ya wazee
 
Mkuu usemalo nimelifikiria sana.
Natamani kuweka jina halisi na kuwa verified user lakini naona gharama yake baadae ni kubwa mno.
Kuwa verified jf ni mzigo maana unatakiwa kuwa makini sana na kila unachokiandika maana hujui ni andiko lako lipi litatumika kama silaha dhidi yako. Pia kuna mada inabidi uachane nazo kabisa.
Ila ukiwa mtu wa maneno yako na misimamo wako mwenyewe una nafasi kubwa ya kuwa salama.
 
Back
Top Bottom