Sawa, bora ukweli nimekwambia.Ni kweli bora usingenitag
ππππ emu tuache
Karibu sana ShadeeyaUsijali tuko pamoja mdogo wangu Amiin mingi mingi kwa dua zako mwaya.
Hahahaa!! Hao wa huko kwa PM kiukweli hawaepukiki kabisaa.
Aunt yangu Heaven Sent huwa ananikosha na magazeti mazito japo siku hizi napishanaga naye sana majukwaani na pia kayapunguza nadhani majukumu hayo. [emoji3]
π π π πHahahaaa. Kweli aisee kutokuandika nacho ni kipaji kikubwa kweli na hawa ndugu zangu wanacho.
Mi nikitaka nisiandike basi nisilogin nje ya hapo lazima tu ntaandika yaani.
Hahahaaaa. Hamna hauwezi kufukuliwa bana. ππππ
Hakika.π π π π
Ni kujitahidi kuwa na hekima tu maana unaweza ona kama watu hawakuoni vile ila siku kikinuka watahakikisha umeona rangi zote za kwenye upinde wa mvua, hakuna rangi utaacha kuona.
Andika hivi @ bila kuacha nafasi halaf andika jina la mlengwa
https://www.jamiiforums.com/members/weylyn.485392/
Hata mie nakukubali sanaaaaaaaaaaaaaaa
Asante Mkuuhttps://www.jamiiforums.com/members/weylyn.485392/
Hata mie nakukubali sana
Hata mie nakukubali sanaaaaaaaaaaaaaaa
I missed U Mak! Hujamboi?
Mzima kabisa RafikiI missed U Mak! Hujambo lakini?