Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Ugumu autoe wapi... mgumu nyuma ya keyboard... Mgumu public... oops!!

Kumbe hapa ni jukwaani... ngoja mambo yake nimuachie mwenyewe...

Nisije nikamwaga kuku kwenye mchele mwingi...


Cc: mahondaw
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakiii smart nacheka ujue..utalipia mbavu zangu

Alafu sikuhizi umeanza kupata Yale mambo yetu ya kugida mpaka Koo linawaka Moto asubuhi asubuhi mno...punguza bwana
 
  1. miminimkulimaakachekasana - huyu jamaa hachekeshi ila kila nikiiona hii ID huwa nawaza aliwaza nini kujiita hivi.
  2. Daktari wa Meno - nafikiri kwenye kitengo cha burudani ya comed humu JF sasa hivi huyu jamaa anaweza kuwa anaongoza kunifurahisha.

Hizi thread zinasababisha sonono kwa wale ambao hatuna wa kututaja, Mods wawe wanazifuta tu kutupunguzia msongo wa mawazo.
 
Naomba nikazie kwa Daktari wa meno
 

Ukweli mtupu! Napenda sana kusoma comments za mkuu Smart911 na pia kwenye jukwaa letu poa la entertainment, story za Shunie
 
Hahahaaa. Kweli aisee kutokuandika nacho ni kipaji kikubwa kweli na hawa ndugu zangu wanacho.

Mi nikitaka nisiandike basi nisilogin nje ya hapo lazima tu ntaandika yaani.

Hahahaaaa. Hamna hauwezi kufukuliwa bana. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…