Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Asante sana mkuu. Smart911 Alinifundishaga katika maisha Siri ni kutumia akili nyingi si nguvu nyingi

Mlishaishinda hii vita siku nyingi sana.

Binafsi mlivyovusha miaka 2 ndipo nilichukulia kwamba mmevuka.

Kitu mlichokifanya sidhani kama kuna anayeweza kuki-replicate humu JF.

Mnastahili tuzo kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali tuko pamoja mdogo wangu Amiin mingi mingi kwa dua zako mwaya.

Hahahaa!! Hao wa huko kwa PM kiukweli hawaepukiki kabisaa.

Aunt yangu Heaven Sent huwa ananikosha na magazeti mazito japo siku hizi napishanaga naye sana majukwaani na pia kayapunguza nadhani majukumu hayo. 😀
 
Mapambano yanaendelea ndugu tena yamepamba moto ..as days goes Shetani azidi kuingilia kati ..thou I believe in Smart911 hajawahi niangusha na he never forget his brain with him
Nakumbuka sana ulivyopambana mwanzoni.

Kila safari mwanzo wake huwa na changamoto zake.

Vijana wana la kujifunza kutoka kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂
Hakiii smart nacheka ujue..utalipia mbavu zangu

Alafu sikuhizi umeanza kupata Yale mambo yetu ya kugida mpaka Koo linawaka Moto asubuhi asubuhi mno...punguza bwana

Kunywa kwa ustaarabu... haiuzwi chini ya miaka 18... how old are you yna2

Hapana am just happy with my life... that's it... nothing more or else...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…