Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Usiniambie hii ni vita? kwa heshima ya Smart911 amani itawale tasavali
Mlishaishinda hii vita siku nyingi sana.
Binafsi mlivyovusha miaka 2 ndipo nilichukulia kwamba mmevuka.
Kitu mlichokifanya sidhani kama kuna anayeweza kuki-replicate humu JF.
Mnastahili tuzo kwa hilo.