Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .

Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.

Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!

Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.

Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)

Hamtaniona humu milele

Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong

Mungu awe nanyi.

Chaoo
Mkuu superbug mimi nakukubali bwana
 
Mwanaume mzima unalilia kupendwa kwenye mitandao acha ujinga bhana simama kama kidume, songa mbele.

Life is too short to be anything but Happy.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Mimi sio attention sicker[emoji30][emoji30][emoji30] SEEKER... SICKER [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]

Jr[emoji769]
Mkuu we pia kuna sehemu niliona umeandika gari flani linakula mafuta kuliko Hammer. Hapa ulimaanisha nyundo au lile gari zito la GM? Kama ulimaanisha hili gari ni HUMMER sio Hammer.. Nyundo haitumii mafuta
 
Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .

Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.

Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!

Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.

Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)

Hamtaniona humu milele

Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong

Mungu awe nanyi.

Chaoo
We jamaa utakuwa last born kwenu maana sio kwa ulivolia hivi😆😀😂
 
Hahahahaha wee jamaa nyau kweli ..
Kutotajwa tu unalalamika , hahahhaha

Wee anza kujitaja kwanza ,mengine baadae !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom