Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umzima ni jambo la kheri Mtani.Hahah si unajua kiswahili cha Pwani kinaenda mbele nyuma..
Kwa ufasaha nimekumiss Mtani..mimi mzima bila shaka nawe u buheri kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa sana kiongozi. Ahsante sana.
Mkuu superbug mimi nakukubali bwanaNawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .
Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.
Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!
Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.
Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)
Hamtaniona humu milele
Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong
Mungu awe nanyi.
Chaoo
Mwanaume mzima unalilia kupendwa kwenye mitandao acha ujinga bhana simama kama kidume, songa mbele.Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .
Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.
Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!
Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.
Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)
Hamtaniona humu milele
Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong
Mungu awe nanyi.
Chaoo
Babe acha hizo, kupendwa rahaMwanaume mzima unalilia kupendwa kwenye mitandao acha ujinga bhana simama kama kidume, songa mbele.
Life is too short to be anything but Happy.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
😀😆😀asante kwa tuition mkuuili utajwe inabidi uwe mzee wa ku
[emoji117] like
[emoji117] kucomment
[emoji117] quote
[emoji117] kwenda DM
[emoji117] Chawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we pia kuna sehemu niliona umeandika gari flani linakula mafuta kuliko Hammer. Hapa ulimaanisha nyundo au lile gari zito la GM? Kama ulimaanisha hili gari ni HUMMER sio Hammer.. Nyundo haitumii mafutaMimi sio attention sicker[emoji30][emoji30][emoji30] SEEKER... SICKER [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu we pia kuna sehemu niliona umeandika gari flani linakula mafuta kuliko Hammer. Hapa ulimaanisha nyundo au lile gari zito la GM? Kama ulimaanisha hili gari ni HUMMER sio Hammer.. Nyundo haitumii mafuta
We jamaa utakuwa last born kwenu maana sio kwa ulivolia hivi😆😀😂Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .
Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.
Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!
Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.
Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)
Hamtaniona humu milele
Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong
Mungu awe nanyi.
Chaoo
😀😀Jamani jirani sijui nilisahau vipi..
Hahahahaha wee jamaa nyau kweli ..Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .
Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.
Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!
Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.
Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)
Hamtaniona humu milele
Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong
Mungu awe nanyi.
Chaoo
Kuna watu wana Moyo mwepesi sana mkuuHahahahaha wee jamaa nyau kweli ..
Kutotajwa tu unalalamika , hahahhaha
Wee anza kujitaja kwanza ,mengine baadae !!.
Sent using Jamii Forums mobile app
KweliNdiyo yale yale aliyokuwa anayasemea bro Mnazareth
Daah kuna watu humu tunaweza wapoteza hivi hivi aise
KataskoposKwani unajua nazungumzia ipi?