Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Basi sawa uduguuu!! Linda heshima, ni kitu muhimu mnoo.
 
Kuna Groups humu, kuna id unaziona huku na zinaelewana, na kuna id unaziona kwingine nazo zinaelewana ,kila kikundi nadhani kinataka info za mwenzake, wanafanyiana ujasusi wa mahusiano[emoji23][emoji23]
Yaani mambo mseto, na ma group yapo sana na wanajuana,wakikorofishana huko wanakuja kucharurana huku,

Ndiyo maana nakaaga chonjo rafiki[emoji23]
 
Ha ha ha mwamba umeamua kujiweka pembeni...yote mema usikonde utapata wakwako humu
 
Utaniweza tu kwani unanibeba mgongoni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mtu anahangaikaje kujua mahusiano ya mtu asiyemfaham? Huu nao ni uchizi tu! Sema tu nina dam ya kunguni, ningeshajibebea mbabez wangu halafu nisikie wakinisema๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hahahahahaha, eti ni uchizi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ , ila kweli ni uchizi, unahangaika kujua nani anatoka na nani , mie humu sidhani km naeza beba totoz kwa sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ