cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Basi sawa uduguuu!! Linda heshima, ni kitu muhimu mnoo.Hahah mimi sina uoga kabisa na jf naimudu vizuri kabisa ndio maana nipo mpaka leo.
Lakini mimi ni mtu ninayependa kuheshimiwa hususani na watu ambao wananijua nje ya hapa. Kwa sababu hiyo ndio hadhi yangu na nina stahili. Hii inanipelekea kujiepusha kukutana na wehu.
Mimi sio mtu ambaye naweza kujitoa ufahamu kiasi kwamba nudes zangu kweli zivuje au mambo yangu ambayo hayakupaswa yawe hadharani yawe hadharani halafu nijidai kama vile sijaumizwa. Labda hayo mambo yawe sio ya kweli ila kama ni ya kweli sio siri nitakuwa nimeumizwa sana maana mimi nina heshima yangu ambayo ikivunjwa ni lazima nione aibu na sio kujitia roho ngumu kukomaa huku moyoni najua yaliyo sambazwa ni kweli na huyo mtu tunajuana in person kweli.
Kati ya somo nililofeli vibaya ni kukumbatia aibu na maumivu na kujidai walaaa sijaumia dear.