Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Hahah mimi sina uoga kabisa na jf naimudu vizuri kabisa ndio maana nipo mpaka leo.

Lakini mimi ni mtu ninayependa kuheshimiwa hususani na watu ambao wananijua nje ya hapa. Kwa sababu hiyo ndio hadhi yangu na nina stahili. Hii inanipelekea kujiepusha kukutana na wehu.

Mimi sio mtu ambaye naweza kujitoa ufahamu kiasi kwamba nudes zangu kweli zivuje au mambo yangu ambayo hayakupaswa yawe hadharani yawe hadharani halafu nijidai kama vile sijaumizwa. Labda hayo mambo yawe sio ya kweli ila kama ni ya kweli sio siri nitakuwa nimeumizwa sana maana mimi nina heshima yangu ambayo ikivunjwa ni lazima nione aibu na sio kujitia roho ngumu kukomaa huku moyoni najua yaliyo sambazwa ni kweli na huyo mtu tunajuana in person kweli.

Kati ya somo nililofeli vibaya ni kukumbatia aibu na maumivu na kujidai walaaa sijaumia dear.
Basi sawa uduguuu!! Linda heshima, ni kitu muhimu mnoo.
 
Kuna Groups humu, kuna id unaziona huku na zinaelewana, na kuna id unaziona kwingine nazo zinaelewana ,kila kikundi nadhani kinataka info za mwenzake, wanafanyiana ujasusi wa mahusiano[emoji23][emoji23]
Yaani mambo mseto, na ma group yapo sana na wanajuana,wakikorofishana huko wanakuja kucharurana huku,

Ndiyo maana nakaaga chonjo rafiki[emoji23]
 
Ha ha ha mwamba umeamua kujiweka pembeni...yote mema usikonde utapata wakwako humu
Sina makasiriko mkuu, niliamua kujiweka pembeni mwenyewe kwani huyu Joannah ni binti mrembo sana na muungwana, niliona kama vile sitamuweza kummudu alivyo mrembo😂😂😂

Kwa hiyo nimeamua nimuage mapema asipoteze muda, nitapata mwingine panapo majaaliwa
 
Sina makasiriko mkuu, niliamua kujiweka pembeni mwenyewe kwani huyu Joannah ni binti mrembo sana na muungwana, niliona kama vile sitamuweza kummudu alivyo mrembo😂😂😂

Kwa hiyo nimeamua nimuage mapema asipoteze muda, nitapata mwingine panapo majaaliwa
Utaniweza tu kwani unanibeba mgongoni😂😂
 
Mtu anahangaikaje kujua mahusiano ya mtu asiyemfaham? Huu nao ni uchizi tu! Sema tu nina dam ya kunguni, ningeshajibebea mbabez wangu halafu nisikie wakinisema😅😅😅
Hahahahahaha, eti ni uchizi 😂😂 , ila kweli ni uchizi, unahangaika kujua nani anatoka na nani , mie humu sidhani km naeza beba totoz kwa sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom