Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana auntie upoje lakini unataka kuniharibia sifa yangu niliyotajwa

KENZY haujakosea mkuu kwa sifa uliyonipa me ni mkarimu sana [emoji847]
Sasa hilo la panya mla vitenge..🤣🤣 imekuwaje dada..?

Hili itabidi tukae kikao..😅
 
Haahhaha huyo auntie yangu asiniharibie sifa uliyonipa
🤣🤣🤣 Mwambie nayeye anakulaga dokyumenti zako tena mshukuru aliwahi kura ripoti yako ya shule ya msingi ikawa ponapona yako ya kupokea mkate wa bwana..🤣
 
Eeh sina makuu sababu uliniahidi ile IST new model na hujanipa mpaka leo eeh?? Haya[emoji3][emoji3]
Ulikua hupatikani!!!!!!
Nkairudisha yard [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa ningepereka voda???[emoji23][emoji23]
 
Upeleke Voda tena??😀😀 kaongo we ka kaka wewe, hata hujanitafuta, vipi lakini uko poa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom