Fifi alimkubali nafikiri ๐
๐๐๐ Mshamba bado mtoto, muda wake ukifika atapata wakeNimekumbuka asee huyu mis eyez si ndio mshamba anampendaga sana?
Dogo ana gundu sana yule
Unamsema ex wako ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mshamba anapenda kila mtu
๐คฃ๐คฃ๐คฃ sikuwahi kumdateUnamsema ex wako ๐๐๐
Wee shindwaaa ๐๐๐Jongeeni niwapikie magimbi mpate nguvu ya kujaza hii sayari๐
Fifi ni mwanamke? Dume hilo, tena huyo mjinga mjinga nam-mind sana, ananifatilia sana na kuniletea ujinga ujingaFifi alimkubali nafikiri [emoji23]
Mbona mbali si nitachoka kusubiria mtoto ๐คฃ๐คฃ๐คฃMwezi wa saba au nane nafikiri mambo yatakuwa sawa ๐๐๐
Kumbe๐Fifi ni mwanamke? Dume hilo, tena huyo mjinga mjinga nam-mind sana, ananifatilia sana na kuniletea ujinga ujinga
Sindio unaenda kumtafuta wakati huu๐Mbona mbali si nitachoka kusubiria mtoto ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hana utoto wowote, anaendekeza ujinga tu[emoji23][emoji23][emoji23] Mshamba bado mtoto, muda wake ukifika atapata wake
Sema kweli? ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ sikuwahi kumdate
Akija hapa me simo ๐คฃKumbe๐
Ingekuwa ajabu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikuwahi kumdate
Kweli nakwambia๐คฃ๐คฃ๐คฃ.Sema kweli? ๐
Yaah๐Ingekuwa ajabu sana
Sorry, huyo kwenye profile ni ww?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahKijana ananiambia tukutane tuzichape[emoji1787]
Sasa najiuliza kwa pesa au misuli,kama kwa ubavu akishinda mrembo atakula misuli?[emoji1787]
Bado mtoto ๐๐๐Hana utoto wowote, anaendekeza ujinga tu
@Don Nalimison
Mtu mwenye malalamiko๐
@Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..๐
hawa watu uwepo wao humu JF sijawahi kuupinga walikua watu wananifanya niinjoi kuwapo jf@GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..
Wale madume tata ndio wanamkubali, huyu dogo aseeKumbe[emoji23]
Mbona profile yangu huulizi ๐๐๐Ingekuwa ajabu sana
Sorry, huyo kwenye profile ni ww?