Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tatizo crew yake wamejaa wa aina hiyo, ndio maana wanaompenda pia ni wa hivyoTumuombee jamani[emoji19]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo crew yake wamejaa wa aina hiyo, ndio maana wanaompenda pia ni wa hivyoTumuombee jamani[emoji19]
Jf iko 🔥🔥🔥🔥Balaa🤣🤣🤣. Ndio nasikia leo.
Ila Jf kiboko😂
Si ndio hapo emu waje watuletee umbea huo 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] raha ya umbea iambatane na evidence.
Naruhusiwa kurudishwa Nyumbani nikiwa marehemu?😂😂😂 Mbona inasemekana kakukula eti
Inasemekana lkn…….
Na sisi washika bomba je?Hili kaburi japo limefukuliwa halina madhara.
Mie nshastaafu mambo hayo, vipodozi na Kasinde mbalimbali.
Ngoja nimtafute baba Bataringaya RRONDO nimshawishi safari ya milima ya kaskazini mwa Tanzania (Lushoto to Arusha) mwisho wa mwaka huu...
Sasahivi kuelekea kaskazini December hii iwekwe sheria, kama gari plate number haijaanziwa na E unaishia Msata na Chalinze.
Foleni ipungue kidogo...😅😅
Kuna watu ni wajinga sana wakikaa pembeni wanakula kila mtu kwa macho lakini, wengine utaskia yule mm sijataka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona inasemekana kakukula eti
Inasemekana lkn…….
Unataka kuniacha mjane😒?Naruhusiwa kurudishwa Nyumbani nikiwa marehemu?
Hao wakikaa inbox wamekula kila mtu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka
Mbona hata mimi muhusika sijui kama nimeliwa na mshamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
For real sijawahi hata kufikiria 🤣🤣🤣.Hao wakikaa inbox wamekula kila mtu[emoji23][emoji23]
Hatusafirishi ss hivi mvua nyingi, tunazika hapa hapa 😂😂😂Naruhusiwa kurudishwa Nyumbani nikiwa marehemu?
Wengi wao Sifa zinawaponza🚮Jf iko 🔥🔥🔥🔥
Lazima tuseme ukweli, huyu mshamba alimletea dharau ms eyez.Unayaweza wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine wanaliwa kweli 🤣🤣🤣Kuna watu ni wajinga sana wakikaa pembeni wanakula kila mtu kwa macho lakini, wengine utaskia yule mm sijataka tu[emoji23]
Humu kuna wehu wengi sana [emoji23]
🤣 Shem ndio unaniona leo?Lazima tuseme ukweli, huyu mshamba alimletea dharau ms eyez.
Mwangalie tena ms eyes, alafu sema ukweli ni wa kuwa na yule dogo?
Vipi kuhusu Gentacyme???Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..[emoji28]
Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!
Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..[emoji28]
Kiranga
Mtu mbishi tu!
Mzee Mwanakijiji
Hekima..
Chizi Maarifa
Jina linajieleza..[emoji28]
Shunie
Mdada mkarimu..
MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..[emoji23]
GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..[emoji28]
Saint Anne
Kondoo wa bwana..
lliedie
Kabinti kapolee..[emoji847]
Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..[emoji12]
Miss Natafuta
Kamati ya kudang..a[emoji41][emoji85]
Don Nalimison
Mtu mwenye malalamiko[emoji23]
Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..[emoji23]
katoto kazuri
Anajifunza umbea..[emoji28]
Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..[emoji125]
List iendelee..
😂😂😂😂Wengi wao Sifa zinawaponza🚮
Hawa mnawaendekeza mwishoni ndio wanaleta dharau kama hizoKumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Hapana kizuri changu,ondoa hofu😉Unataka kuniacha mjane😒?
[emoji23][emoji23] wanagombania nn? Maana wote huwa wanalalamika hawapendwiIlikuwa vita kali [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ukiwa na utani ndio wanaleta pigo za namna hii?Hawa mnawaendekeza mwishoni ndio wanaleta dharau kama hizo