Bazazi wa buzA
Hebu niacheni kwanza nipo Kigamboni natafuta nyumba. Nataka kuhamia kwa hawa jamaa wapigania uhuru...
Astaghafirulilah wallah....Bazazi wa buzA
πMboga saba huwa hawabet,mie nabet ujue π€£
Nisaidie huyo mmoja tu,wengine nitaanza kutiririka nao mimi
π
Itakuwa umerithi tu huko kwenye ukoo wenu Bibi wa Bibi wa Bibi yake bibi mzaa Bibi usikute alikuwa anabeti hata kwa mihogo shambani..π
Don Clericuzio
Huyu nae ndo mbetiji aliekubuhu mixer mhuzuriaji wa....π
Asikusumbue sana, hana lolote kama Bashite na Urais wa Kigamboni...
Chaliiii mamamamae zake na kalio mbendembende kama pasi ya mkaa
Ngoja niendelee kwanza kufanya uzinzi na K Vant ya baridi na juisi ya mapapai
Hiyo sio kesi ni changamoto na ishatatuka wazee wameniacha nimalizane na mrembo mwenye mapengo..π
Huwa anabet?
Anahudhuria wapi?
Popote ulipo KENZY nakuwasha laanaπππGratuity Tucci
Jamaa mpolee unaweza hata kumpiga na asiende kusema kwa baba..ππ
miss zomboko
Roboti la jamiiforum
Chakorii
Hatulii sehemu moja..π
Mzizi mkavu
Daktari mwanaharakati..
Hahaha, unachokitafuta utakipata.
Wewe endelea kwenda kwa waganga wa kienyeji!
Gratuity Tucci
Jamaa mpolee unaweza hata kumpiga na asiende kusema kwa baba..ππ
miss zomboko
Roboti la jamiiforum
Chakorii
Hatulii sehemu moja..π
Mzizi mkavu
Daktari mwanaharakati..
Naona alichokiandika hakiendani na ukweli
Kwani huwa unabet?
Huyo ni da vinci kabadili jina tu..Hivi kumbe Gratuity Tucci ni mwanaumeππππ³π³π³itabidi nirejee sehemu nikaedit baadhi ya vitu loh..