Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Bazazi wa buzA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bazazi wa buzA
Hebu niacheni kwanza nipo Kigamboni natafuta nyumba. Nataka kuhamia kwa hawa jamaa wapigania uhuru...
Astaghafirulilah wallah....Bazazi wa buzA
😂Mboga saba huwa hawabet,mie nabet ujue 🤣
Nisaidie huyo mmoja tu,wengine nitaanza kutiririka nao mimi
😂
Itakuwa umerithi tu huko kwenye ukoo wenu Bibi wa Bibi wa Bibi yake bibi mzaa Bibi usikute alikuwa anabeti hata kwa mihogo shambani..😅
Don Clericuzio
Huyu nae ndo mbetiji aliekubuhu mixer mhuzuriaji wa....😅
Asikusumbue sana, hana lolote kama Bashite na Urais wa Kigamboni...
Chaliiii mamamamae zake na kalio mbendembende kama pasi ya mkaa
Ngoja niendelee kwanza kufanya uzinzi na K Vant ya baridi na juisi ya mapapai
Hiyo sio kesi ni changamoto na ishatatuka wazee wameniacha nimalizane na mrembo mwenye mapengo..😅
Huwa anabet?
Anahudhuria wapi?
Popote ulipo KENZY nakuwasha laana😂😂😂Gratuity Tucci
Jamaa mpolee unaweza hata kumpiga na asiende kusema kwa baba..😂😂
miss zomboko
Roboti la jamiiforum
Chakorii
Hatulii sehemu moja..😂
Mzizi mkavu
Daktari mwanaharakati..
Hahaha, unachokitafuta utakipata.
Wewe endelea kwenda kwa waganga wa kienyeji!
Gratuity Tucci
Jamaa mpolee unaweza hata kumpiga na asiende kusema kwa baba..😂😂
miss zomboko
Roboti la jamiiforum
Chakorii
Hatulii sehemu moja..😂
Mzizi mkavu
Daktari mwanaharakati..
Naona alichokiandika hakiendani na ukweli
Kwani huwa unabet?
Huyo ni da vinci kabadili jina tu..Hivi kumbe Gratuity Tucci ni mwanaume🙄🙄🙄😳😳😳itabidi nirejee sehemu nikaedit baadhi ya vitu loh..