[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juma lokole anatoka na wacheza mpira, alisemaga ankoli wake Pau.[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kuna mtu atapona wakianza kupima? Waanze na Mwijaku na Juma lokole
Wachoyo wa mabuyu yanawasaidia Nini zaidi ya kuchachuka meno,,,mpenzi na dada yenu adambueYaan kaharibika wallah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ ndoa za mitara?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii ulisikia wanapimwa? Ile ni danganya toto tyuuh.
Huwezi amini sahivi [emoji304] wako huruu mnoo.
Had ndoa wanafunga mitaani tena za mitara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimesoma Bcom wapiii? Ila shen taratibu mambo yako, mie Ban sitaki sahivii.Anazingua unawezaje kila mtu kumuahidi ajira?
Coca kasoma bcom sijui, mshamba kasoma computer science, sijui nani kasoma accounts, mwingine kasoma socialogy, mwingine BBA, mwingine pspa, wote hao unawaahidi ajira umekua psrs?
Wewe hakukuahidi kazi?ππWatakutana uko uko wizarani kwa babu migambuti atajua yeye awapange vipi na course zao walizosomea πππ
Mbona wa BAF umemsahau?
UDSM.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimesoma Bcom wapiii? Ila shen taratibu mambo yako, mie Ban sitaki sahivii.
[emoji23][emoji23]Hapana,alinizoe kiaina tu sio deep Sijawahi hata kujua ni mdananda
James na major Kunta ni wakewenzaπππ ndoa za mitara?
James kaolewa na nani?
Nimepewa Ciroc leo[emoji23]Jitulizee....halafu unamnywesha Nini shemeji yangu mbona Hana Siri tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe na shemeji yako vitu mnavyotumia leo mkija kusutwa me simo πππHapana,alinizoe kiaina tu sio deep Sijawahi hata kujua ni mdananda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dyadyaa usinambie nilikua penzini motomoto na Paul Kagame wa Bongo?Kuna kipindi niliona penzi la cocastic na huyo Mzee kumbe ni scammer,,mi sipatanagi nae kabisa maana huwa namwambia live Hana jambo [emoji16]
Hivi mbona simuoni tena humu?[emoji23][emoji23]
Na mie hatimaye nmefungua code nikikuwa natesekaaaa...shemeji aishi mileleKumbe!Asante sana shemeji umenifungua macho napendaga we unaenda tu straight ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF kibokooo, afu mbna mie cjawahi hata, niamini mie.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuwa Nakuzoom tu,tena nakumbuka nilikuonya Angalia huyo ni mdananda tu utaenda huko USB ukose nauli ya kurudia unakumbuka lakini [emoji1787][emoji1787]
Kuna kidude chake anatumia hapa, namwambia nipe na mie basi ananiambia nitachoma mayai watoto wake watakaa wapi? πππJitulizee....halafu unamnywesha Nini shemeji yangu mbona Hana Siri tenaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
BAF inaingia kwa hao wa accountsWatakutana uko uko wizarani kwa babu migambuti atajua yeye awapange vipi na course zao walizosomea [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wa BAF umemsahau?
Sisi ni jeshiii hapa akili ya shemeji yangu vile hapindishagi mambo tukimix na yangu huyo anayetaka kutusuta ajipangeπ€£π€£Wewe na shemeji yako vitu mnavyotumia leo mkija kusutwa me simo πππ
Safiiii,,,anakupenda na anakutunza...Kuna kidude chake anatumia hapa, namwambia nipe na mie basi ananiambia nitachoma mayai watoto wake watakaa wapi? πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had BAF tena? Mzumbe au IFM?Watakutana uko uko wizarani kwa babu migambuti atajua yeye awapange vipi na course zao walizosomea [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wa BAF umemsahau?
Eeeh dada kaanza kulewa sasa πππKuna kipindi niliona penzi la cocastic na huyo Mzee kumbe ni scammer,,mi sipatanagi nae kabisa maana huwa namwambia live Hana jambo π