Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kuna mtu atapona wakianza kupima? Waanze na Mwijaku na Juma lokole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juma lokole anatoka na wacheza mpira, alisemaga ankoli wake Pau.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii ulisikia wanapimwa? Ile ni danganya toto tyuuh.

Huwezi amini sahivi [emoji304] wako huruu mnoo.
Had ndoa wanafunga mitaani tena za mitara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 ndoa za mitara?
James kaolewa na nani?
 
Anazingua unawezaje kila mtu kumuahidi ajira?

Coca kasoma bcom sijui, mshamba kasoma computer science, sijui nani kasoma accounts, mwingine kasoma socialogy, mwingine BBA, mwingine pspa, wote hao unawaahidi ajira umekua psrs?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimesoma Bcom wapiii? Ila shen taratibu mambo yako, mie Ban sitaki sahivii.
 
Jitulizee....halafu unamnywesha Nini shemeji yangu mbona Hana Siri tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimepewa Ciroc leo[emoji23]

Nacheck game hapa huku inashuka taratibu
 
Kuna kipindi niliona penzi la cocastic na huyo Mzee kumbe ni scammer,,mi sipatanagi nae kabisa maana huwa namwambia live Hana jambo [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dyadyaa usinambie nilikua penzini motomoto na Paul Kagame wa Bongo?
Mbna sikumbukii etii?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuwa Nakuzoom tu,tena nakumbuka nilikuonya Angalia huyo ni mdananda tu utaenda huko USB ukose nauli ya kurudia unakumbuka lakini [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF kibokooo, afu mbna mie cjawahi hata, niamini mie.
 
Watakutana uko uko wizarani kwa babu migambuti atajua yeye awapange vipi na course zao walizosomea [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wa BAF umemsahau?
BAF inaingia kwa hao wa accounts
 
Wewe na shemeji yako vitu mnavyotumia leo mkija kusutwa me simo 😂😂😂
Sisi ni jeshiii hapa akili ya shemeji yangu vile hapindishagi mambo tukimix na yangu huyo anayetaka kutusuta ajipange🤣🤣
 
Watakutana uko uko wizarani kwa babu migambuti atajua yeye awapange vipi na course zao walizosomea [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wa BAF umemsahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had BAF tena? Mzumbe au IFM?
nyie mie sitakiii, khaaah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom