Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kuna mwingine alikua anaficha ficha kwa majina? Sema tu nikuweke wazi[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shemeji mbona unaharibu sana Leo[emoji119][emoji119][emoji119]ASANTE SANA Missy Gf njoo shemeji keshachomoa betri
Ulale sasa πππJamaa ana dhambi sana sio powa, yule demu angejua jinsi alivyopondwa vile sidhani kama angekuwa na furaha tena.
Akiwa huku hadharani ni marafiki. Akiwa na wengine pembeni anawaponda, huu unafki wa hali ya juu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu ana list ya wadada had anasahau kabisaa km washawahi aihidiana kazi.Na tulimjaza akajaa afu tukamsuuza hakuamini macho yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Alivyoanza kujipakulia minyama eti nimeambiwa nimemla hadi cute wife mfyuuu!
Nikaona babu miyayusho kaanza kamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu magaidi humu πππNilimuonea huruma sana yule dada jamani aliongea kwa uchunguuu
Ulipitwaa wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kha kumbe ule Uzi ndio wa babu watoto mna ubuyu nyie na hamsemiii
Shem Sema yote semaaaKuna mwingine alikua anaficha ficha kwa majina? Sema tu nikuweke wazi[emoji23]
Basi ngoja nikae kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo shemeji yenu atawaponza
Me nimemwambia wapi?
π€£π€£π€£π€£Ngoja nitakwambia ShemejiKuna mwingine alikua anaficha ficha kwa majina? Sema tu nikuweke wazi[emoji23]
π€£π€£π€£π€£ List ni ndefu hata serikali yenyewe haina idadi kubwa km hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu ana list ya wadada had anasahau kabisaa km washawahi aihidiana kazi.
Mweeeeh
Dah!Me aliniahidi kunipeleka Ibiza nile bata, ngozi yangu sio ya kupigwa na jua [emoji12] na niwe namsaidia kuwalipa mishahara kina cocastic na employees wengine [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu utarogwa sahivii wallah.Labda uwe unazima mtambo wake pmb na kuuwasha mnara wake usome 5g km za Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile chats za penseli uliziona alikua anachat na huyo mtu anaitwa extrovet. Pale penseli hakua anaponda mwenyeweKheeeh had Extro? Mbna mabwakuuu.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anazingua unawezaje kila mtu kumuahidi ajira?
Coca kasoma bcom sijui, mshamba kasoma computer science, sijui nani kasoma accounts, mwingine kasoma socialogy, mwingine BBA, mwingine pspa, wote hao unawaahidi ajira umekua psrs?
Sikujua Mlengwa ni naniπUlipitwaa wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vikokotoo vinakataa kabisa kugawanya mafao na viinua mgongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] List ni ndefu hata serikali yenyewe haina idadi kubwa km hiyo
Taja tu mwingine anaemficha[emoji23]Shem Sema yote semaaa
ππππ babu miajira sio migambuti tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu utarogwa sahivii wallah.
Muache babu wa watu.
We Coca kwani nani anatoa ajira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vikokotoo vinakataa kabisa kugawanya mafao na viinua mgongo.
Wahitaji ni wengi kuliko ajira enyewe.
Weee hadi extro jamaniiiZile chats za penseli uliziona alikua anachat na huyo mtu anaitwa extrovet. Pale penseli hakua anaponda mwenyewe
Kama ulikua hujui, ndio umejua sasa