cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akirudi atarudi na jipyaa, haishiwagi majambo.Sijui ataibuka na mpya gani?
Ss hivi kaamua ajiite kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani yuko depo, si alisemaga kaitwa ile list ya officers wa PCCB, yuko anakula mafunzo akitoka huko ulajiii tyuuh.
Wadada wa JF neema kwao, watake nn sasa?