Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Yaani huyu hafai kuja humu, bora angeendelea kubaki huko huko 😂😂😂Chukua simu🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu hafai kuja humu, bora angeendelea kubaki huko huko 😂😂😂Chukua simu🤣🤣🤣🤣
Huo uzi sijauona, ni dada gani? Anaitwa nani?Kwa hiyo na dada alindika Uzi wa malalamiko ndio naye mmoja wapo au sio shemeji?
Nalalaje glass bado imejaaa 😅😅😅Bff mkalale 😂😂😂
Anajiona Paul Kagame wa Bongo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio pigo zake akiwa porini ananyapia swala [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huamini vipi? Penseli alimtumia lamomy chats zote mwanzo hadi mwisho akiwa anachat na huyo extrovet
Unafki hiki ndio nilikuwa nasema mara kwa mara watu hawataki kuelewa.
Uzuri ubavu hawana sababu walishajimaliza kwako na wanajua una kila kitu kinachowahusu[emoji23][emoji23]Nyie mtasutwa mjue [emoji23][emoji23][emoji23]
Coca nani amekupa ajira na mimi nikaombe[emoji23][emoji23][emoji23]Kasome tyuuh huko juu.
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikaandae mikeka ya kubet kesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi utafutwa nishaona dalili
Me nakumbuka na picha walipiga pamoja ya ukumbusho😅😅Ngoja nimalize glass nimueleze yeye ilikuaje yeye anaangukia kundi lipi. Unajua uzuri aliokua anachat nao kuhusu mademu wa huku walifikisha yote na chats zote kwa cute wife[emoji23]
Ua la kipekee change it to English shemeji😁😁😁😁 akilalamika sana halafu saa hizi kamblockHuo uzi sijauona, ni dada gani? Anaitwa nani?
Useme na yako sasa uliowala humu au tukuitie mwenye pdf lako 😂😂😂Uzuri ubavu hawana sababu walishajimaliza kwako na wanajua una kila kitu kinachowahusu[emoji23][emoji23]
Hapa jangwani tunakula ubuyu huku tunaogelea kwenye mafuriko[emoji23]Mi poa,niliko Hali ni tulivu mvua hakuna ila weather Iko cool...nipo hapa nakula ubuyu mzito mzito wa JF citizens nachekaa sana
Bff unachochea ugomvi 😂😂😂Me nakumbuka na picha walipiga pamoja ya ukumbusho😅😅
😂😂😂 dada una mazito weweUa la kipekee change it to English shemeji😁😁😁😁 akilalamika sana halafu saa hizi kamblock
🤣🤣🤣Kiboko ndio hiyo nakunywa hapa.....Ubuyu gani tena mama, sili ubuyu labda unipe juice yake, ichanganywe na ukwaju😁
Da maua 😅Huo uzi sijauona, ni dada gani? Anaitwa nani?
Rudi umalizie na pdf lako 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikaandae mikeka ya kubet kesho
Huo ndio ukweliKm kweli ni Extro, bas JF ni ya kuiogopaa,
Khaaah mabwakuuuu
Ngoja aje anichambe maana akili zake azijua mwenyewe 😁😁😁😂😂😂 dada una mazito wewe