Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ya kweli haya??


Ila jamaa mbona kama ni mtu poa sana
Mtu wa maombi sana,,

Ndio maana wengine tunapambana na ajira portal
Humu jf kumuomba mtu ajira ni kujitafutia matatizo [emoji1787]
Uongo upi? Yeye akichat na wengine pembeni, ha ndio huleta kila kitu. Hili kosa sidhani kama atakuja kurudia, Kuna watu nadhani aliwaamini sana ndio hao wakamsnitch tabia zake nyuma ya pazia
 
Coca ajira siyo rahisi hivyo[emoji23]

Hapo Coca unaua pepa ya mwisho huku unasema tayari nina ajira[emoji38][emoji38][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajee JF tuiachee hivihivii.
Inaweza fikia hatua, ukaanza kumlaumu Baba wa watu Mello aliwaza nn kui unda JF? Si bora angelima bustani hapo kwake akala mboga.

Kuliko kuleta hii kitu ya kutibua amani ya watu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wabaya sana. Mm nimekubali lawama lakini mjue walivyo wakiwa huko

Ndio maana nikiwa nazozana na mtu huku wala sio uongo inakua ni kweli kabisa ndio maana wanakuwaga wapole sana wanajua tayari washajulikana tabia zao
Mkuu,
Naomba nikuulize, usije tu kunirushia mawe😁😁 hizi taarifa personal kabisa huwa unazipataje, yaani unajuaje nani na nani wanaongea nini, samahani nimedandia fuso njiani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom