Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shemeji mbona unaharibu sana Leo[emoji119][emoji119][emoji119]ASANTE SANA Missy Gf njoo shemeji keshachomoa betri
Kuna mwingine alikua anaficha ficha kwa majina? Sema tu nikuweke wazi[emoji23]
 
Jamaa ana dhambi sana sio powa, yule demu angejua jinsi alivyopondwa vile sidhani kama angekuwa na furaha tena.

Akiwa huku hadharani ni marafiki. Akiwa na wengine pembeni anawaponda, huu unafki wa hali ya juu sana
Ulale sasa 😂😂😂
 
Na tulimjaza akajaa afu tukamsuuza hakuamini macho yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Alivyoanza kujipakulia minyama eti nimeambiwa nimemla hadi cute wife mfyuuu!
Nikaona babu miyayusho kaanza kamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu ana list ya wadada had anasahau kabisaa km washawahi aihidiana kazi.
Mweeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu ana list ya wadada had anasahau kabisaa km washawahi aihidiana kazi.
Mweeeeh
🤣🤣🤣🤣 List ni ndefu hata serikali yenyewe haina idadi kubwa km hiyo
 
Me aliniahidi kunipeleka Ibiza nile bata, ngozi yangu sio ya kupigwa na jua [emoji12] na niwe namsaidia kuwalipa mishahara kina cocastic na employees wengine [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!
Huu uzi bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Hebu nilale
 
Labda uwe unazima mtambo wake pmb na kuuwasha mnara wake usome 5g km za Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu utarogwa sahivii wallah.
Muache babu wa watu.
 
Anazingua unawezaje kila mtu kumuahidi ajira?

Coca kasoma bcom sijui, mshamba kasoma computer science, sijui nani kasoma accounts, mwingine kasoma socialogy, mwingine BBA, mwingine pspa, wote hao unawaahidi ajira umekua psrs?
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka nataka kuzimia japo sielewi hata kinajadiliwa Nini.


Nani anagawa ajira nikaombe jobless Mimi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] List ni ndefu hata serikali yenyewe haina idadi kubwa km hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vikokotoo vinakataa kabisa kugawanya mafao na viinua mgongo.

Wahitaji ni wengi kuliko ajira enyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vikokotoo vinakataa kabisa kugawanya mafao na viinua mgongo.

Wahitaji ni wengi kuliko ajira enyewe.
We Coca kwani nani anatoa ajira[emoji23]
Mbona husemi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom