Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Coca ajira siyo rahisi hivyoπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatarii tupuu
Ndo unataka kusemaje? πππYupo mbali huyo kasafiri kama kawaida yake[emoji23]
Muumbue na yeye bhanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona yako huweki? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nina pdf lako ujue
Uongo upi? Yeye akichat na wengine pembeni, ha ndio huleta kila kitu. Hili kosa sidhani kama atakuja kurudia, Kuna watu nadhani aliwaamini sana ndio hao wakamsnitch tabia zake nyuma ya paziaYesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ya kweli haya??
Ila jamaa mbona kama ni mtu poa sana
Mtu wa maombi sana,,
Ndio maana wengine tunapambana na ajira portal
Humu jf kumuomba mtu ajira ni kujitafutia matatizo [emoji1787]
π€£π€£π€£π€£π€£Mi mambo yangu na Hawa watoto huwa nawaonya hapahapa hamna Cha PM...watukutu sana!Nimepitia convo zenu, naona huko pm kunawaka motoππ
Huyu shemeji yenu atawaponza nyie mjazeni kichwa πππHafaniii hata kidogoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ile picha hukumuona? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu akikumata hakuachi mpk akumimbike udugu sio kwa vayolensi hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi yameisha[emoji119]
Hapana nafanya masijala kumbukumbu tunazo ππBff unachochea ugomvi πππ
Namuonea huruma asije kuzimia bure, nina email yake hapa πππMuumbue na yeye bhanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wabaya sana. Mm nimekubali lawama lakini mjue walivyo wakiwa huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu wabaya
Kumbe Babu ni mrefu mwembamba kafanana na Kagameπ π ??siku hizi simuoni jukwaani alikuaga anaenda wapi?Kwa ile picha hukumuona? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utasema Paul Kagame huyu hapa.
Si ni muhaya? Ukute wa Kigali kwelii. Utajuajee?
ππππ khaaaa!!! Udugu utaachanisha ndoa za watu me simoKwa ile picha hukumuona? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utasema Paul Kagame huyu hapa.
Si ni muhaya? Ukute wa Kigali kwelii. Utajuajee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajee JF tuiachee hivihivii.Coca ajira siyo rahisi hivyo[emoji23]
Hapo Coca unaua pepa ya mwisho huku unasema tayari nina ajira[emoji38][emoji38][emoji23]
Babu wa Tamisemi??Ndo unataka kusemaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
We nipo karibu yako hapa usianze kujifanya uko single!! Au nawe unataka kuiga tabia za babu wa TAMISEMI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu shemeji yenu atawaponza nyie mjazeni kichwa [emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kuna kitu nimekumbuka imebidi nichekeππππ khaaaa!!! Udugu utaachanisha ndoa za watu me simo
π€£π€£π€£ Eee ajira zote anazo za halmashauri wewe hutaki?Babu wa Tamisemi??
Hapo Mtihani , ua - flowerUa la kipekee change it to English shemeji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] akilalamika sana halafu saa hizi kamblock
Mkuu,Watu wabaya sana. Mm nimekubali lawama lakini mjue walivyo wakiwa huko
Ndio maana nikiwa nazozana na mtu huku wala sio uongo inakua ni kweli kabisa ndio maana wanakuwaga wapole sana wanajua tayari washajulikana tabia zao