Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na jf ina IDs nyingi, unashangaa mtu anakuita hata hujawahi kuona id yake afu member toka enzi ya TANU uko,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi mtu kani PM, joined April 2011, post 425.
Nilichokaaa, mkamuuliza I'd yako maarufu ni ipi? Hajajibu had sahiv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo kavuka level ya mode ni server kabisa hata ukifuta record anayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani Leo kanipa Raha sana,,halafu hajui umbea anasema Hadi aliyemwambia πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi mtu kani PM, joined April 2011, post 425.
Nilichokaaa, mkamuuliza I'd yako maarufu ni ipi? Hajajibu had sahiv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha tu kuna mtu kanikalia kooni shemeji yake hata sijui kwa nani?
 
Muumbue na yeye bhanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina cha kuumbuliwa, lakini pia mm ya yy hatuwezi fika huko. Tunaheshimiana kuliko kawaida, tatizo letu haliwezi kuwa hadharani hata siku moja[emoji23]
 
Watu wabaya sana. Mm nimekubali lawama lakini mjue walivyo wakiwa huko

Ndio maana nikiwa nazozana na mtu huku wala sio uongo inakua ni kweli kabisa ndio maana wanakuwaga wapole sana wanajua tayari washajulikana tabia zao
Mie niliambiwa mnatunga meseji za uongo kuchafua watu🀣
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…