Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na jf ina IDs nyingi, unashangaa mtu anakuita hata hujawahi kuona id yake afu member toka enzi ya TANU uko,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi mtu kani PM, joined April 2011, post 425.
Nilichokaaa, mkamuuliza I'd yako maarufu ni ipi? Hajajibu had sahiv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi mtu kani PM, joined April 2011, post 425.
Nilichokaaa, mkamuuliza I'd yako maarufu ni ipi? Hajajibu had sahiv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha tu kuna mtu kanikalia kooni shemeji yake hata sijui kwa nani?
 
Muumbue na yeye bhanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina cha kuumbuliwa, lakini pia mm ya yy hatuwezi fika huko. Tunaheshimiana kuliko kawaida, tatizo letu haliwezi kuwa hadharani hata siku moja[emoji23]
 
Watu wabaya sana. Mm nimekubali lawama lakini mjue walivyo wakiwa huko

Ndio maana nikiwa nazozana na mtu huku wala sio uongo inakua ni kweli kabisa ndio maana wanakuwaga wapole sana wanajua tayari washajulikana tabia zao
Mie niliambiwa mnatunga meseji za uongo kuchafua watu🀣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom