Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Yaani Leo kanipa Raha sana,,halafu hajui umbea anasema Hadi aliyemwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Wala usipate tabu, mfano rahisi tu huyo national antem rafiki yake mkubwa ni mwachuluwi, mwachuluwi na cute wife walikua marafiki. Chats zote za national antem huyo mwachuluwi alikua anamtumia cute wife. Ikifika kwa cute wife si ndio imefika na kwangu
 
Wewe!
Mimi nilitoa elf 30 tatu mchumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wamesema silitoa sate sauzand siyo mimi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ulitoa 90k?
Haya na mie nipe hizo 90k.

Nipo nasubiriiii hapaaa.
 
Mkeo naye mmbea cute πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mjep shkamoo brother
Nimekumiss tu mimi,toka kijiwe kitawanywe hatuonani.
Marahaba nkamu
Mimi mwenyewe napita kwa nadra tunapishana majukumu yanabana wakati mwingine
Bila shaka uko poa na ka junia kanaendeleaje?
 
Hata ile skendo yako nasikia ni babu mwenyewe alisambaza hizo habari za kutoka na wewe na misifa yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yesu wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ile ya Mimi na mama Pasta kwamba tumetoka naye?

Basi tukawa tunajiuliza nani huyo katuzushia sisi? Na tumemkosea Nini? Ili apate Nini?
Mama pasta akasema ukute ni yeye mwenyewe πŸ˜†
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…