Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie bi mkubwa apunguze hekaheka [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie bi mkubwa apunguze hekaheka [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mtu ni hatari, ila alishajenga hali Fulani ya kupendwa na kuaminiwa, haikua rahisi watu kumjua undani wake.Oyooooooo!! Leo ndo leo
Mambo yapo kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaenjoy maisha hukoAnfied napita mara mojamoja kupata taarifa kutoka kwa wataalamu akina captain
Kasalimie ka junia
Habari ndo hiyo 😂😂😂Dah
Nyie😂😂😂😂
Mimi hadi kesho nikawa namtafuta wa kunizushia
Nikawa najiuliza sipati majibu..
Mbona jamaa nilionana naye kijiwe Cha kahawa.. na mtu pekee alikuwa anajua ni Mr na nilimuupdate kila kitu maana alikuwa anasikiliza mazungumzo yote Kwa call.
Huyo HS hata sura yake haijui.
Nyie😆🤣🤣🤣
Unafki una mwisho ngozi huwezi kuibadili 😂😂😂Yule mtu ni hatari, ila alishajenga hali Fulani ya kupendwa na kuaminiwa, haikua rahisi watu kumjua undani wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata yeye haamini km reputation yake imeanguka vile.
Watu na Mr wenu mjiniii.Dah
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hadi kesho nikawa namtafuta wa kunizushia
Nikawa najiuliza sipati majibu..
Mbona jamaa nilionana naye kijiwe Cha kahawa.. na mtu pekee alikuwa anajua ni Mr na nilimuupdate kila kitu maana alikuwa anasikiliza mazungumzo yote Kwa call.
Huyo HS hata sura yake haijui.
Nyie[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ulisema ikifika saa ngapi nilale babe?[emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaa uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafki una mwisho ngozi huwezi kuibadili [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 naona unataka kunichafulia CVWala hata sio ww, mnafanana tu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti babu ni tatizo, ila wee utarogwaa.Habari ndo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema wewe sijui ulishindwa vipi kufungua code simple km ile yako?
Mtu mmeonana wawili, watatu ni mr wako afu ghafla unazipata habari km zilivyo!
Unashindwa kumjua aliyevujisha kweli?
Babu ni tatizo nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23]
Babu kaangukia pua 😂😂😂Haswaa uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuaje akasema na ww amekupitia? Ilinichanganya sanaHabari ndo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema wewe sijui ulishindwa vipi kufungua code simple km ile yako?
Mtu mmeonana wawili, watatu ni mr wako afu ghafla unazipata habari km zilivyo!
Unashindwa kumjua aliyevujisha kweli?
Babu ni tatizo nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona unataka kunichafulia CV
Ww hauhusiki hata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona unataka kunichafulia CV
Aliumbuka vibayaa mnoo, hata walio nyuma yake wakamuacha pekee yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babu kaangukia pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu wangu yaani zile habari zilinishangaza nikabaki nimepigwa na butwaa..Habari ndo hiyo 😂😂😂
Sema wewe sijui ulishindwa vipi kufungua code simple km ile yako?
Mtu mmeonana wawili, watatu ni mr wako afu ghafla unazipata habari km zilivyo!
Unashindwa kumjua aliyevujisha kweli?
Babu ni tatizo nakwambia 😂😂😂
Alisema ataturoga wote tutakufa yeye ni mchawi aliyeshindikana 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti babu ni tatizo, ila wee utarogwaa.
Wote wakamkimbia maskini 😂😂😂Aliumbuka vibayaa mnoo, hata walio nyuma yake wakamuacha pekee yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ile issue leo ukiwa hapa hivi ni afadhali[emoji123]Hivi ulisema ikifika saa ngapi nilale babe?
Mbona leo unifukuzii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajui Songea uchawi tunachimba na kugawana km njuguu,Alisema ataturoga wote tutakufa yeye ni mchawi aliyeshindikana [emoji23][emoji23][emoji23]
Cha ajabu kakimbia yeye, kasahau km me mkinga sirogoki. Sisi ndo tunagawa uchawi kwetu