Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu na Mr wenu mjiniii.
Mr km Mr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbna pambeeee.
Coca bana
Nanogesha tu stori..
Siku hiyo nilipita mcity katika hekaheka za vibarua vya kausha damu vya muhindi...
Tulikuwa tunatembelea wateja na matembezi yaliishia mcity nikamkuta bro anakunywa kahawa... Nakumbuka hata selfika nilipost picha mandhari ya mcity.