Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Yaani Leo kanipa Raha sana,,halafu hajui umbea anasema Hadi aliyemwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Wala usipate tabu, mfano rahisi tu huyo national antem rafiki yake mkubwa ni mwachuluwi, mwachuluwi na cute wife walikua marafiki. Chats zote za national antem huyo mwachuluwi alikua anamtumia cute wife. Ikifika kwa cute wife si ndio imefika na kwangu
 
Wewe!
Mimi nilitoa elf 30 tatu mchumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wamesema silitoa sate sauzand siyo mimi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ulitoa 90k?
Haya na mie nipe hizo 90k.

Nipo nasubiriiii hapaaa.
 
Wala usipate tabu, mfano rahisi tu huyo national antem rafiki yake mkubwa ni mwachuluwi, mwachuluwi na cute wife walikua marafiki. Chats zote za national antem huyo mwachuluwi alikua anamtumia cute wife. Ikifika kwa cute wife si ndio imefika na kwangu
Mkeo naye mmbea cute ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hata ile skendo yako nasikia ni babu mwenyewe alisambaza hizo habari za kutoka na wewe na misifa yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yesu wangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ile ya Mimi na mama Pasta kwamba tumetoka naye?

Basi tukawa tunajiuliza nani huyo katuzushia sisi? Na tumemkosea Nini? Ili apate Nini?
Mama pasta akasema ukute ni yeye mwenyewe ๐Ÿ˜†
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom