Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
😂 😂 Miss Liverpool good mornings..

Once a Red Always a Red....

YNWA
 
Duh aisee
Hebu tuone maana haya ni maajabu ya huu mwaka[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie screenshots alizonitumia, ni kat ya huyo babu na yeye member aliyenipaga huo ubuyuu, babuu ndo alikua anamuambia huyo member kuwa mlikutana Morena hotel.

Cku secrenshot, nkaamua kufuta tyuuh chat za PM huwa siachi.
Ningeshatuma mda kabla ya ma PDF, km ningetakaa.
 
Km kwa mie nisidanganye, couz yuko vizuri kwenye taaluma yangu na pia alini aminisha sana.

Kikichokuja kutokea after varangati lile, na kila kitu kiliharibika.

Ndo nilipo kuja kujua kumbe ni muongo na huwa ana danganya wadada wengi humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba alikutana na mimi Morena au nani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…